Search results

  1. Gerald

    Car4Sale Mazda Atenza 2.3CC

    Mazda Atenza - for sale 9.5M (Tsh) Registration Year/Month - 2004/08 Odometer - Before 90,667km after check photos attached. Displacement - 2.3CC Serious buyer 0684811976
  2. Gerald

    The most powerful words

    *WHEN TO BE SILENT* 1. Be silent - in the heat of anger. 2. Be silent - when you don't have all the facts. 3. Be silent - when you haven't verified the story. 4. Be silent - if your words will offend a weaker Person. 5. Be silent - when it is time to listen. 6. Be silent - when you are...
  3. Gerald

    Macstage real estate

    Tunapenda kutambulisha website Macstage real estate | Powered by Topgcstech web solution ambayo ina husika na matangazo yanayohusu Ardhi,Nyumba kwa yeyote anayetaka Kuuza/Kununua unaweza kutupia humo. Ni site inayojihusisha na REAL ESTATE. Pia tunapokea ushauri wa maboresho ya website zaidi...
  4. Gerald

    Natafuta Fundi wa nyumba

    Ninaweza kupata mawasiliano ya mafundi wa finishing ya nyumba Kama ifuatavyo :- 1. Gypsum designer 2. Paint designer/skimming 3. Tiles 4. Garden designer 5. House decorater Ahsante.
  5. Gerald

    salary scale-pgss 13

    Naomba mwenye kujua hii scale ya pgss 13 ni mshahara wa kiasi gani?
  6. Gerald

    Je hii Mihimili Mitatu ya Dola Imetufundisha nini?

    Kwakuo hoja nyingi bungeni na wabunge kuzibwa midomo kutokana na katiba yetu na sheria zake mbovu kutojali maslai ya wananchi je Tumejifunza nini? Pia tukumbuke serikali imetumia huu mwanya kuficha uozo wake mfano: 1. Mahakama; serikali imetumia sheria mbovu za kikatiba kuanzia uteuzi wa...
  7. Gerald

    Madoctor unganeni kuwaadhibu kina manyanya na msangi

    kuna wimbi la watu wametokea kudharau fani yenu na hata kufikia kuwadharau na mbaya zaidi kuwafananisha na hitler. Napendekeza wale wote waliohusika na kuwakejeli namna moja au ingine tuwaweke wazi ili iwe fundisho wao na vizazi vyao kutopewa huduma yoyote wanapokua wanaitaji huduma...
  8. Gerald

    Mwenye uwezo wa kunipatia or kunitafutia ajira plse nisaiedieni hata kwa kuinunua!

    Nina bachelor ya Computer science, Diploma ya IT na FTC ya Electronics & Telecommunication mwenye uwezo wa kunipatia or kunitafutia ajira kwa garama yoyote ile plse!
  9. Gerald

    Kwa viongozi na wapenzi wa CHADEMA

    Kwa kuwa kumetokea malalamiko mengi hususani chaguzi ningependekeza yafuatayo; 1. Wabunge wote wa CDM na viongozi watiifu wote ndani ya chama washiriki kwenye kusimamia kura katika vituo vyote vya kupigia kura hii itawasaidia kutotokea kwa mbunge kurubuniwa (rushwa) au udanganyifu wowote...
  10. Gerald

    Mbowe, Slaa, Zitto, Mnyika na CHADEMA wote kwa Ujumla

    Kwa siku kazaa kumetokea majibishano concern Arumeru je mmeshafanyia hizi tafiti na mkajua mtashinda? 1. Kuboresha Daftari la wapiga kura Ikumbukwe hili ndilo jambo la msingi kabla ya kuingia kwenye chaguzi ndogo Arumeru kwa kusema hivi ni kwamba tulio wengi hapa kila kukicha topic ni...
  11. Gerald

    Natafuta Mkopo

    Wana jf naomba msaada kwenu natafuta mkopo wa 10M wa riba nafuu ila nimejaribu kwenda bank zote zikanieleza ili kupata mkopo natakiwa niwe angalau nabiashara na mimi ndio natafuta hiyo hela nianzishe biashara nina hati ya kiwanja mbweni, hati ya gari freelender na subaru forester chochote kati...
  12. Gerald

    Halmashauri na YONO kulikoni?

    Wana JF naomba kujua kuna taarifa zilitangazwa wakati waziri wa uchukuzi kwa jina sifahamu ila nilisikia kwenye magazeti na TV kuwa YONO wastop kukamata magari na pia aliwapa kazi idara husika kusimamisha mkataba na YONO na jukumu zima kubeba wao sasa imekuaje tena wamerudi barabarani? na kwa...
  13. Gerald

    Halmashauri na YONO kulikoni?

    Wana JF naomba kujua kuna taarifa zilitangazwa wakati waziri wa uchukuzi kwa jina sifahamu ila nilisikia kwenye magazeti na TV kuwa YONO wastop kukamata magari na pia aliwapa kazi idara husika kusimamisha mkataba na YONO na jukumu zima kubeba wao sasa imekuaje tena wamerudi barabarani? na kwa...
  14. Gerald

    Dowans

    Naona kuanzia Loliondo, Uvvcm, Shigongo,Magufuli na Pinda imepoteza kabisa mstakabadhi mzima wa dowans au ndio movie zinachezwa hapa ili mwisho tusikie serikali na wanaharakati wameshindwa kesi jamanio anayejua kinachoendelea atujuze hapa JF
  15. Gerald

    Subaru Forester car for Sale (7mil)

    gari nauza aina Subaru Forester Year 1999, Km 105,000, 2.0cc, 4WD, Automatic, Turbocharge, good condition, small scruch and dent, kutoka Japan ilikua na KM88,000 so, almost 15000km nimetumia nikiwa nayo hapa Imesajiliwa tiari TZ, Ina mwaka tokea nimeiagiza na kuitumia. Bei ni 7M, let me know if...
  16. Gerald

    Kashaga na wenzako unatusaidiaje kwa haya pamoja na serikali hii?

    Hello wana JF Ningependa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo Nashukuru wana JF kwa michango yenu na habari mnazotuletea sisi kwetu ikiwa ni changamoto kwetu kujua mambo yanavyokwenda nchini mengine ni mazuri na mengiyao ni mabaya inadhihirisha wazi kuwa hiki ni kijiji cha great thinkers...
  17. Gerald

    Je watawala mtatufikisha kwa njia hii?

    Hello wana JF Ningependa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo Nashukuru wana JF kwa michango yenu na habari mnazotuletea sisi kwetu ikiwa ni changamoto kwetu kujua mambo yanavyokwenda nchini mengine ni mazuri na mengiyao ni mabaya inadhihirisha wazi kuwa hiki ni kijiji cha great thinkers...
  18. Gerald

    Mtazamo

    Hello wana JF Ningependa kutoa maoni yangu kama ifuatavyo Nashukuru wana JF kwa michango yenu na habari mnazotuletea sisi kwetu ikiwa ni changamoto kwetu kujua mambo yanavyokwenda nchini mengine ni mazuri na mengiyao ni mabaya inadhihirisha wazi kuwa hiki ni kijiji cha great thinkers...
  19. Gerald

    Bot

    Wana JF naomba kuuliza zile kazi za BOT je tiari wameshaajiri watu? or enterview ilishafanyika ?
  20. Gerald

    Wana JF Naitaji Masaada Wenu

    Napenda kujua ni Taasisi gani inakopesha kwa riba nafuu na wenye masharti yasio kuwa magumu cause izi bank zetu zina ukiritimba wa hali ya juu ingawa inawezekana baadhi ambazo sizifahamu zikawa ni rahisi kupata. Pia natakiwa niwe na nini ili nikamilishe adhama yao ya kupata mkopo achilia...
Back
Top Bottom