Halmashauri na YONO kulikoni?

Gerald

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
290
46
Wana JF naomba kujua kuna taarifa zilitangazwa wakati waziri wa uchukuzi kwa jina sifahamu ila nilisikia kwenye magazeti na TV kuwa YONO wastop kukamata magari na pia aliwapa kazi idara husika kusimamisha mkataba na YONO na jukumu zima kubeba wao sasa imekuaje tena wamerudi barabarani? na kwa mikataba ipi?

sasa kinachofanyika ni iki wakikukamata wanakuandikia Faini
1. Ukalipe halmashauri 2.0cc faini yake ni 45,000 then unarudi YONO nao unawalipa 29,000 ndio unapata kibali cha kuchukua gari yako pia cc zikiwa juu kama 2.5 cc ni 90,000 na yono nae anakutoza yake

Maswali yangu ni haya
1. kwanini mamlaka husika wasifanye hiyo kazi? na walishambiwa na waziri husika wasitisha mkataba na YONO
2. kwanini ulipe faini kwa kampuni mbeli tofauti?
3. je sheria inasemaje kwa wano jua naomba mtujuze

Je hii ni haki wana JF? anaye jua zaidi huu udhalimu atujuze
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom