Kwa viongozi na wapenzi wa CHADEMA

Gerald

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
290
46
Kwa kuwa kumetokea malalamiko mengi hususani chaguzi ningependekeza yafuatayo;

1. Wabunge wote wa CDM na viongozi watiifu wote ndani ya chama washiriki kwenye kusimamia kura katika vituo vyote vya kupigia kura hii itawasaidia kutotokea kwa mbunge kurubuniwa (rushwa) au udanganyifu wowote ambao kila siku tunausikia hapa.

2. Hii itaweka wazi kuwa ni kweli CCM huwa wanacheza rafu, kusaidiwa na nec,uwt or police? Kwasababu kama wanawatisha wasimamizi wenu au kuwaonga sidhani kama wataweza kufanya hivyo kwa hao wabunge au viongozi wenu.

3.Hii italeta taswira yoote ya hayo tunayosikia hapa jf ili baada ya uchaguzi na majibu kutoka tujue ukweli ni upi.

Nawakilisha.
 
Inaweza kuboreshwa, kimsingi hili wazo lina mashiko!
 
Tunawashaur wakabe hadi penalti maana haya magamba hayasomeki!,na tena C....c...m wanazid kushuka daily!,hatutaki matapishi.
 
Kwa kuwa kumetokea malalamiko mengi hususani chaguzi ningependekeza yafuatayo;

1. Wabunge wote wa CDM na viongozi watiifu wote ndani ya chama washiriki kwenye kusimamia kura katika vituo vyote vya kupigia kura hii itawasaidia kutotokea kwa mbunge kurubuniwa (rushwa) au udanganyifu wowote ambao kila siku tunausikia hapa.

2. Hii itaweka wazi kuwa ni kweli CCM huwa wanacheza rafu, kusaidiwa na nec,uwt or police? Kwasababu kama wanawatisha wasimamizi wenu au kuwaonga sidhani kama wataweza kufanya hivyo kwa hao wabunge au viongozi wenu.

3.Hii italeta taswira yoote ya hayo tunayosikia hapa jf ili baada ya uchaguzi na majibu kutoka tujue ukweli ni upi.

Nawakilisha.
Ni wazo zuri!
Kama wengi wao wameweza kuja siku ya Uzinduzi wa kampeni, kwanini wasiweze kuwepo siku moja ya kura?
CDM kuna wabunge zaidi ya Arobaini, na hawa wangepangwa kwenye vituo NYETI vya kupigia kura, naamini ukombozi ungeonekana!
Sasa hivi hata MKIWA NA MUNGU hawa jamaa wa ccm hawamwogopi Aisee!
 
tayari huo Mpango upo,,,,vijana machachari wa pale Arumeru na Arusha watasimamia kwa kila kituo....Kwenye kata watasimama wabunge
 
Jamani mleta post umesema kitu ambacho ni kizuri na kinamantiki bkoz kwa kufanya hivi kutawafanya magamba washindwe kuwaonga hawa kuliko kuweka watu wenye njaa inakuwa ni virahisi kuhongwa na magamba. Tanx mleta mada.
 
Kwa kuwa kumetokea malalamiko mengi hususani chaguzi ningependekeza yafuatayo;

1. Wabunge wote wa CDM na viongozi watiifu wote ndani ya chama washiriki kwenye kusimamia kura katika vituo vyote vya kupigia kura hii itawasaidia kutotokea kwa mbunge kurubuniwa (rushwa) au udanganyifu wowote ambao kila siku tunausikia hapa.

2. Hii itaweka wazi kuwa ni kweli CCM huwa wanacheza rafu, kusaidiwa na nec,uwt or police? Kwasababu kama wanawatisha wasimamizi wenu au kuwaonga sidhani kama wataweza kufanya hivyo kwa hao wabunge au viongozi wenu.

3.Hii italeta taswira yoote ya hayo tunayosikia hapa jf ili baada ya uchaguzi na majibu kutoka tujue ukweli ni upi.

Nawakilisha.

Nakubaliana na mawazo ya Mdau, lakini just imagine Karatu huu mwaka wa 20 CDM inashinda tena hadi madiwa na wenyeviti wa vijiji, kikubwa hapa ni kuwaelimisha waTZ wawachukulie pesa zote wanazowapa kama rushwa na mwisho wa siku wawatose tu.

Mimi nakubaliana na mawazo yako lakini tuna sehemi kibao waTZ walilinda kura mpaka siku tatu hakinakutoka kituoni mfano Ubungo. Kawa Arusha mjini Mwana nk.

Tuwape watu wetu facts kwama matatizo waliyonayo hayaishi hata kwa kupewa rushwa ya milioni moja, bali kwa kuweka misingi bora
 
Back
Top Bottom