Search results

  1. R

    mmmh mama huyu naniniiiii kanikuna

    mtoto mmoja alimuuliza mama yake nini maana ya kubeba mtoto mgongoni wakati mtoto anamiguu wakati huo mtoto huyoyupo mgomgoni akamwambia kwa sababu mtoto mdogo anatembea kwa fujo
  2. R

    Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

    good idear
  3. R

    Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

    natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa zifuatazo awe amesoma mpaka form four mrefu na awe na umri wa miaka 19
  4. R

    Daa waandishi na mapenzi

    Leo kuna baadhi ya magazeti ya memripoti daimond kuwa ana mganga wa mapenzi hapana naweza kulikataa swala zima la kusema kuwa diamondi anadawa ya mapenzi bali baadhi ya watu wamenukuu vibaya baadhi ya hawa madada wamekuwa wakimfuata diamondi kwa sababu ya umaarufu na yeye mwenyewe kupenda...
  5. R

    Mangumi ni mapenzi ya kweli

    baadhi ya waandishi na magazeti ya udaku wamekuwa wakitangaza baadhi ya watu maarufu katika swala zima la mapenzi na kuonyesha kwa kiasi kikubwa baadhi ya wapenzi wakitwangana mangumi na kuachana kabisa lakini cha kushangaza kabila moja hapa Tanzania kutwangana ni kasumba yao nao uhishi kwa...
Back
Top Bottom