Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa

@Peter Rabachi, sio kweli kwamba alikuwa anatafuta mchumba. Rudia kusoma sredi utaelewa alichokuwa anamaanisha!
 
Kweli kabisa! Mi sijawahi kaa nikafikiria kuwa watu wanaoweka mabandiko humu huwa wako serious......tena kama hao wanaume ndo kabisaa!!
Kuna watu wapo serious Kipipi... Sio threads zoote is a Joke....
:embarassed2: Hii ni kazi kweli kweli!! Naogopa usipate kanyaboya ndugu!
Ubuntu mgen brand new na post yako ya kwanza unakua muoga hivo?
nilifikiri ni mie tu, nikafungua kwa bidii nijue kulikoni
hahahaha..... Wee usha pata Salok? Kama hujapata tumia hiizo tips kutafuta....
 
Hivi ulikwishaga mpata?
Of all the questions you could ask on the matter.... Hili ndio the best? I took it for granted jibu unalo.... kama nilimpata ama Lah!lol
Ni kweli alikua anatafuta? Una hakika? Nijib tafadhali.
Rabachi... NIMEOLEWA...
@Peter Rabachi, sio kweli kwamba alikuwa anatafuta mchumba. Rudia kusoma sredi utaelewa alichokuwa anamaanisha!
Asante Wifi yangu... I hope you are well and good.
 
Hahahahaha, kuna watu walikuja fastaaaa wanajua AshaDii anatafuta.
Alter, ukipokea PM yoyote watume kwangu, I am your PA in this matter. lol
 
Hahahahaha, kuna watu walikuja fastaaaa wanajua AshaDii anatafuta.
Alter, ukipokea PM yoyote watume kwangu, I am your PA in this matter. lol


Yaani Alter you will have to PA me in another matter.... Yaani sipati maombi hata mmoja... Sijui ndio gundu? lol Hata kama nimeolewa si watume nikatae? hahaha.....
 
Yaani Alter you will have to PA me in another matter.... Yaani sipati maombi hata mmoja... Sijui ndio gundu? lol Hata kama nimeolewa si watume nikatae? hahaha.....
Alter you're crazy! :lol: Sasa itakusaidia nini?
 
Safi sana mimi nahitaji gf kama yupo nahitaji ndoa naomba anitafute namba yangu ni0774368196 zanzibar ndo home
 
[h=2]
icon1.png
Re: Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa[/h]
JAMANI NIMETANGAZA KUTAFUTA MCHUMBA MAToKEO YAKE lijitu IMECHUKUWA E-MAIL YANGU lIMEANZA KUNTUMIA MAMBO ya kipuuzi+mitusi halafu lianaume sasa hadi imenibidi ntoe post NINI HII! au nliielewa tofauti hii love connect huenda si kwa matumizi nlozania mie au huwa haiwezekani kupata MPENZI humu??? sababu naona watu masihala yamezidi hata kama mtu uko serious..Uhuu!! najua wengi wanaotubeza sie tunao tafuta wachumba humu huenda wameoa au wameolewa bt sio vzuri wana jf kila kitu kitumike kadri ya matumizi yake yanayo stahili, kama huhitaji mchumba ya nini kuanza kubeza wenzio wenye nia hiyo lol tuelimeke wajemeni

BLAKI WOMANI>>>>>umetishaaaaaaaaaaaa

 
Natafuta mchumba wa kuolewa/kuoa ? jamani hii title imeanza kupunguza uzito wake hapa love connect?. Hili ni jamvi la love connect but inaonekan sasa kama vile linakua la people connect? Wanaosaka wapenzi wanatangaza kama vile wanatafuta product?Jamani kwa wale ambao wako serious kutafuta wachumba awe wakike au wa kiume walau basi kuweni serious na post mnazotuma kuonesha ni kweli unahitaji huyo mtu?


Tips kabla hujatuma


  • Eleza sifa zako za nje na ndani zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia naona pia unamata.
  • Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unae muhitaji na wewe pia umeainisha zako.
  • Kama yupo JF pleeeeeeeeease m-PM mana hamna haja ya kutupa wote faida otherwise kama mnatualika harusi?
  • Toa contacts walau e-mail address mana CM utakua umepalia makaa..
  • Unapotuma thread onesha basi you mean it maana kama ni utani it is better ikiwa jukwaa la jokes?
Na mengineyo ya muhimu?


nina umri wa miaka 19 ni mrefu maji ya kunde nnapenda basketball ni Mtanzania hometown yangu ni mwanza napenda mpenz mwenye real love umri wowote awe mweupe ni hivyo tu, contact zangu ni 0764437799 or 0773095719
 
natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa zifuatazo awe amesoma mpaka form four mrefu na awe na umri wa miaka 19
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom