Mangumi ni mapenzi ya kweli

RWEGASILA

Member
Apr 23, 2012
5
1
baadhi ya waandishi na magazeti ya udaku wamekuwa wakitangaza baadhi ya watu maarufu katika swala zima la mapenzi na kuonyesha kwa kiasi kikubwa baadhi ya wapenzi wakitwangana mangumi na kuachana kabisa lakini cha kushangaza kabila moja hapa Tanzania kutwangana ni kasumba yao nao uhishi kwa miaka mingi wakitwangana mangumi kwa nini mapenzi ya vijana wa leo hayadumu wakati swla zima la kukolofishana baina ya wapenzi ni jambo la kawaida .
 
Kwahiyo 'kukolofishana' likiwa jambo la kawaida mahusiano yanatakiwa yadumu?
 
Utakua ulitaka kufikisha sana huu ujumbe, Yani post yako ya kwanza ndio hii. Ngoja nisome tena nielewe.
 
Nachukia sana violence kwenye mahusiano hasa katika ngazi ya familia kwa sababu inawaathiri watoto kisaikolojia na huwa watukukutu huku wakiwa hawana amani wala utulivu nyakati zote.
Wazazi wanaweza kutamba na mahusiano yao ya kutoana ngeu huku wakijiona kwa wamechagua mtindo wao unique wa maisha wasijue unawakosesha watoto haki ya kulelewa katika mazingira yenye amani na utulivu.
Mangumi si mapenzi ya kweli ni ulimbukeni uliokithiri.
 
Back
Top Bottom