Search results

  1. C

    Msaada wa kutoa lock iPhone SE

    Wataalamu nina iPhone SE, naomba kama kuna mtu anafanya kazi ya unlocking anicheki pm.
  2. C

    Naomba kujua gundi ninayoweza kuitumia kubandikia kioo cha simu yangu

    Simu yangu imebanduka kioo (smart phone) ni gundi gani nzuri naweza kuitumia ili kubandika kioo.
  3. C

    Msaada wa kupata fundi simu mzuri wa software

    simu yangu imezingua baada ya jaribio la kuiroot haiwaki inaishia kwenye logo, naomba msaada mwenye contact za Fundi mzuri atakaye nitatulia hili tatizo, pia kama kuna fundi kwenye jukwaa hili unaweza kuni pm ili tuweze kuwasiliana. Natanguliza shukrani.
  4. C

    Msaada, mtoto wangu hatembei

    Ndugu wana JF mada tajwa hapo juu inahusika, mtoto wangu ana zaidi ya mwaka sasa lakini hawezi kutambaa wala kutembea mwenyewe, alipotimiza mwaka mmoja kamili nilimpeleka hospitali ya rufaa, madaktari wakamchumnguza na kudai hana tatizo kwani viungo vyake vipo vizuri, pamoja na majibu hayo ya...
  5. C

    Viwango vya kubadili fedha za kigeni

    Naomba ufafanuzi kuhusu hili kutoka kwa wataalamu wa masuala ya uchumi. nimekuwa sipati majibu ya kuridhisha kuhusu hivi viwango vya kubadirisha fedha za kigeni. Mfano taarifa za vyombo vya Habari kama Star Tv na TBC wanaweza wakatoa viwago vya kubadirisha fedha za kigeni kuwa Dora moja inauzwa...
  6. C

    Nahitaji power converter from 120v to 220/240

    Kama kichwa kinavyo jieleza kama mtaalamu ana kifaa hicho tuwasiline kwani kinahitajika sana. Karibu
  7. C

    Tatizo la playstore kwenye simu naomba msaada

    Wataalam play store inagoma kufunguka nikifungua connection time out wakati net iko vizuri. Naomba msaada nifanyeje?
  8. C

    Naomba ushauri kuhusu jiko la gesi

    Wakuu kichwa cha habari cha husika, jiko lipi ni zuri kwa matumizi madogo ya gesi, kati ya jiko lenye plate Moja au jiko la 2 in 1 (double) mchango wako n muhim sana. Karibu
  9. C

    Msaada tatizo la speed kwenye laptop

    Wadau natumia laptop aina ya Asus core i5 tatizo lake kubwa ni speed ndogo kwan inazidiwa hata na pc zenye dual core, window ninayotumia ni window 8 na Linux, ram ina 4gb lakini inaonesha ram iliyotumika n 3.7. Wataalamu nisaidien tatizo litakuwa nini hasa.
  10. C

    Nahitaji laptop.

    Iwe angala na processor ya i3 na kuendele, asus, lenovo, hp zitapewa kipaumbele, kama unayo na unauza njoo na offer yako.
  11. C

    Kupunguza miaka ya uchakavu wa magari kutoka miaka 10-8

    Kwa wenye taarifa kuhusu hili watujuze, vipi TRA wamesha anza kutumia sheria hii kama ilivyopendekezwa na waziri wa fedha? Mwenye kujua naomba anijuze.
  12. C

    nahitaj injin ya toyota cc 1300

    ndug wana jf kuna gar ili haribu crank shaft, mafund wamehangaika nalo but bado hawajafanikiwa, nmeona niulizie wapi naweza pata injin mpya au used ilyokwene hali nzur pamoja na bei zake. naomba wenyekujua hlo wanisaidie
  13. C

    nahitaj toyota IST

    Iwe imetengenezwa kuanzia mwaka 2003. offer itategemea hali ya gali mwenye nalo karibu kwa biashara
  14. C

    Nahitaji rooter.

    ndug wana jf mwenye hyo bidhaa tuwasiliane, nahtaj.
  15. C

    Sperm test

    Ndugu wana jf
  16. C

    upi mfuko bora wa jamii?

    ndugu wadau, mwenye details nzuri kuhusu mifuko ya jamii hapa nchini, yaan mfuko wenye mafao mazuri kwa mchangiaji akiwa kazini na wakati wa kustaafu , upi mzuri kati ya NSSF,PSPF, LAPF NA MINGINE KAMA HIYO?.. wenye kujua tafadhari tunaomba tujuze
  17. C

    Benk ya wafanyakaz wa serikar.

    Ndugu wana jf hivi wafanyakazi wote wa serikar ni lazima mishahara yao ipitie NMB? Kama n kweli kwann hivyo? Wanao jua tafadhar kuhusu hlo watujuze.
  18. C

    sekretariat ya ajira imetawaliwa na siasa ktk utendaj wake

    ndugu wana jf nadhan kwa wanaofuatilia kwa karibu nafasi za kaz znazo tangazwa na chombo hiki cha utumish wa ajira ni mashahidi kwa jinsi ajira hiz znzvyo chelewa yaani mchakato mzma hadi kuita watu kazin,,.. mfano ajira zaid ya 2000 zlizo tangazwa mwez may had sasa watu hawaja itwa kwene...
  19. C

    Afisa mtendaji mikoani

    jaman hvi kutakuwa na fairness kwel kwa kila mkoa kufanya usail kwa applicant wa mkoa husika ? je utmish wataweza ku cover mikoa yote ya usail au ndo watu wa mikoa husika wta endesha usail bila watu kutoka utumishi? tusio na wakutushka mikono si ndo yametkuta? anae jua tafadhar atufafanulie...
  20. C

    Umuhim wa referee

    Ndg kwa wanao jua naomba wanijulshe referee ana play role gan kwa mwajr. kwan waajr weng wanahtaj hii kitu
Back
Top Bottom