sekretariat ya ajira imetawaliwa na siasa ktk utendaj wake

chipalila1

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
259
31
ndugu wana jf nadhan kwa wanaofuatilia kwa karibu nafasi za kaz znazo tangazwa na chombo hiki cha utumish wa ajira ni mashahidi kwa jinsi ajira hiz znzvyo chelewa yaani mchakato mzma hadi kuita watu kazin,,.. mfano ajira zaid ya 2000 zlizo tangazwa mwez may had sasa watu hawaja itwa kwene usail.. hii n nn kama siyo kiini macho waonekane wana ajir kume siasa tu. kuna sababu gani za kiutendaj znazo sababisha mchakato uchukue muda mrefu kiasi hk.. mwenye kujua kuhusu hl atujuze wadau.
 
mbona wameshaitwa kwenye usaili japo sio wote, kwani hata wanaoendelea kufanya usaili sasa katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Manyara, Morogoro, Tanga, Kilimanjaro na Pwani ni wale waliotuma maombi mwezi Juni? kama una utafiti wa kutosha usiwe mwepesi kulaumu fuatilia ofisini kwao mbona ni wepesi sana kujibu maswali yenu?
 
Usaili unaendele, kama alivyosema Mafanikio hapo juu. Mtoa mada vuta subira
 
kuna watu hawajui chochote zaidi ya kulalama na kulazimisha siasa hata pasipo husika

Hivi generally kama umeomba kazi na hujaitwa inakua ni siasa au ni mlolongo ulio slow, or maybe umekosa shortlisting???
 
Back
Top Bottom