Afisa mtendaji mikoani

chipalila1

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
259
31
jaman hvi kutakuwa na fairness kwel kwa kila mkoa kufanya usail kwa applicant wa mkoa husika ? je utmish wataweza ku cover mikoa yote ya usail au ndo watu wa mikoa husika wta endesha usail bila watu kutoka utumishi?
tusio na wakutushka mikono si ndo yametkuta? anae jua tafadhar atufafanulie hili plz:crying::crying:
 
Kwa uzoefu wangu tu hawa watu wa utumishi wakitangaza usaili huwa hawawahusishi kabisa wahusika wa pale eneo la interv ila kwa hili tunaona itakuaje wapo wengi lamda watagawana majukumu
 
Kwa uzoefu wangu tu hawa watu wa utumishi wakitangaza usaili huwa hawawahusishi kabisa wahusika wa pale eneo la interv ila kwa hili tunaona itakuaje wapo wengi lamda watagawana majukumu
ww mkuu nadhan umenielewa si unajua faulo za mikoan.. ngoja tusubiri tuone
 
Mimi ni miongoni mwa watu niliyewahi kuwa na wasiwasi kama huo. Ila amini usiamini interview zote zilizopata kufanyika mikoani mpaka leo, zote zilisimamiwa na utumishi wenyewe bila kujalisha zilifanyika kwa siku moja katika mikoa tofautitofauti. Hawa jamaa sijui wanawatumishi wangapi? Kama haitakuwa hivyo basi hii ndo itakuwa ya kwanza.

Mimi swali langu ni kwamba, kila watu wa mkoa husika watapangiwa kazi katika mkoa waliofanyia interview endapo watafaulu? au kupangiwa kituo cha kazi haitazingatia ulikofanyia interview? Maana kama itakuwa hivyo basi harufu ya ukabila na ukanda itaanza kupandwa kwa njia hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom