Search results

  1. TheTruth

    Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190

    Shukrani sana kaka nimejaribu imekubali ..now natumia modem yangu hii mpya ya airtel mf 190 kwa kila line!!! Shanks for sharing dude!!
  2. TheTruth

    Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

    Aspen hahaha umeona eeh naona analeta matani
  3. TheTruth

    Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

    hahaha you must be joking, nazungumzia mambo ya million 5 we unaniletea ya million 225? are you serious?!
  4. TheTruth

    Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

    Mabreka just have cash on your hands and then see what miracles money can do, you just saying out of the blues you have no clues!
  5. TheTruth

    Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

    hahaha hata mimi ninayetoa hiyo mil 5 sio mjinga najua ina worth thamani ya ardhi kwa sasa...nitapata tu
  6. TheTruth

    Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

    hekari moja au nusu heka inatosha..nataka fugia mifugo tu
  7. TheTruth

    Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

    Kaka naijua arusha kuliko unavyofikiri...ndio sikuwepo kwa muda ila nahakika mbele ya pesa nitapata kiwanja chakutosha tu kwa hiyo mil 5 unayoona ni ndogo..
  8. TheTruth

    Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

    Poa Poa kaka ila ndo maana ni biashara naamini inawezekana tu kwa makubaliano
  9. TheTruth

    Natafuta Apartment ya kuishi Arusha au Arumeru- Bei isizidi Laki na Nusu kwa mwezi.

    Maeneo yote ya nje ya mji wa arusha are great, ikiwa maeneo ya arumeru its awesome pia ila isiwe tu maji ya chai. Apartment hiyo iwe na facilities kama maji na umeme, na iwe na 2 bedrooms na sebule, then jiko na toilets..iwe mahali secured. Natarajia kuhamia within this month. Kwa mwenye...
  10. TheTruth

    Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

    Kwa yeyote mwenye information juu ya upatikanaji wa kiwanja maeneo ya arusha ambalo naweza kufanya shamba hasa nje ya mji kidogo ila si maeneo ya kisongo au hiyo barabara ya arusha dodoma bali maeneo yote ya barabara ya arusha moshi kasoro tu maeneo ya maji ya chai. Wasiliana nami...
  11. TheTruth

    Kuitwa kwa usaili kwa mawakili wa serikali ( state attorneys)

    Wadau nimesikia kuwa kwenye gazeti la nipashe la tarehe 25/06/2012 ofisi ya mwanasheria mkuu imetoa makina ya watu waliofanikiwa kuitwa kwa usaili kupia maombi waliyotuma utumishi..je ni kweli taarifa hizi? Maana sikusoma nipashe la tarehe hiyo
  12. TheTruth

    Nahitaji kiwanja cha kununua maximum price million 5- arusha( nje ya mji kidogo )

    hicho cha mara tatu ya bei kina ukubwa gani?
  13. TheTruth

    Nahitaji kiwanja cha kununua maximum price million 5- arusha( nje ya mji kidogo )

    mmh basi kazi kwel kwel....hiyo ndo maximum price yangu aisee.....na maeneo nayopenelea ni moshono au ngaramton
  14. TheTruth

    Natafuta Kiwanja cha kununua Arusha maeneo ya nje ya mji kidogo

    Mmh hapana mkuu naogpa yale maji ya hapo yana floride nyingi sana
  15. TheTruth

    Natafuta Kiwanja cha kununua Arusha maeneo ya nje ya mji kidogo

    Kaka mimi ni muenyeji wa arusha sema sikuwa arusha kwa miaka kadhaa iliyopita ndo nimerudi
  16. TheTruth

    Nahitaji kiwanja cha kununua maximum price million 5- arusha( nje ya mji kidogo )

    Kiwanja hicho kiwe maeneo yenye ardhi nzur yenye maji na access ya umeme, maeneo ya makazi ya kuishi, pls wasiliana nami , ningepenelea maeneo ya kule chini moshono, ngaramtoni au popote pazuri
  17. TheTruth

    Natafuta Kiwanja cha kununua Arusha maeneo ya nje ya mji kidogo

    Sio mbaya kaka hata huko kisongo...ila nilipenda maeneo ya mwanama chini kule
  18. TheTruth

    Natafuta Kiwanja cha kununua Arusha maeneo ya nje ya mji kidogo

    nahitaji kiwanja cha kununua kati ya sh, million 3 mpaka 5..kiwe maeneo yenye maji na umeme na maeneo ya kuishi.....pls wasiliana na mimi 0658-000-569 nahitaji kiwanja hicho mapema.
Back
Top Bottom