Nahitaji kiwanja cha kununua maximum price million 5- arusha( nje ya mji kidogo )

TheTruth

Member
Apr 1, 2012
29
3
Kiwanja hicho kiwe maeneo yenye ardhi nzur yenye maji na access ya umeme, maeneo ya makazi ya kuishi, pls wasiliana nami , ningepenelea maeneo ya kule chini moshono, ngaramtoni au popote pazuri
 
kisongo utapata! Moshonö shika 10m ndio uanze kutafuta waarusha wakule wamejanjaruka siku hizi.
 
mmh basi kazi kwel kwel....hiyo ndo maximum price yangu aisee.....na maeneo nayopenelea ni moshono au ngaramton
 
Moshono bei ni mara 3 zaidi mkubwa! Mbele zaidi ya Moshono ndio hakushikiki!
 
mmmh huko hapana kaka nashukuru
kabla hela yako haijapoteza thamani kimbilia kisongo hapana tofauti na ngaramtoni ni ukanda mmoja tuu huo.
Pia utapata eneo kubwa lakujinafasi, au labda uende maji ya chai ndanindani na ukatiwe kisehemu kidogo
na wameru. Au jaribu kwa mrombo. Kisongo ndio mpango mzima ndugu yangu
 
Kiwanja hicho kiwe maeneo yenye ardhi nzur yenye maji na access ya umeme, maeneo ya makazi ya kuishi, pls wasiliana nami , ningepenelea maeneo ya kule chini moshono, ngaramtoni au popote pazuri
mimi nina viwanja 2 pale minazini na karibu na Impala Hotel kama umetoa tangazo kwa kumaanisha nipigie 0755 099 291, 0686 200 117 , 0657 14 5555
 
Moshono ujiandae na 25M na zaidi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom