Search results

  1. Kibela

    Nauza D-Link Switch DES 1024 D - 24 Ports Fast Ethernet 10/100

    Habari wadau wa MM, Nauza D-Link Switch Kama zinavyoonekana kwenye picha chini,zipo mbili. Price:85,000/= Kila moja.
  2. Kibela

    Urgently:Uvamizi viwanja vya halmashauri block 14 Mabwepande

    Habari wanajukwaa, Kama una kiwanja Block 14 mabwepande na haujatembelea/haujakisafisha kwa mda wa mwezi au miezi miwili nyuma,basi tambua hauna chako,Kumezuka uvamizi wa viwanja vya halmashauri block 14 mabwepande project yaani wavamizi wamechukua viwanja "Kama Vyote" na kugawa vijipande vya...
  3. Kibela

    Nahitaji nondo 12mm(60) na 16mm(25) za mkononi,marine board,mbao na mirunda.

    Habari wanabodi, Kichwa cha habari hapo juu chahusika,nahitaji nondo takribani 85 kwa mchanganuo wa 12mm idadi 60 na 16mm idadi 25,napatikana bahari beach near budget restaurant ,ledger plaza road . Offer yangu 12mm nanunua kwa 15,000/= Tsh na 16mm nanunua kwa 25,000/= Tsh,kama unazo na...
  4. Kibela

    Nauza Dell Monitors 17" kwa bei rahisi

    Habari wadau wa MM, Nauza Monitors za Dell 17" zipo nne. -Kila Monitor ina VGA na Power Cables. -Kila Monitor Nauza Tsh 40,000/= Ukichukua Zote Nne Utanipa 150,000/= Napatikana Njia panda ya kwenda Bahari Beach,Near Budget Hotel & Restaurants.
  5. Kibela

    Cement za Rhino na Lucky

    Habari wadau, Kuna cement za aina ya rhino na lucky naziona sokoni zikiuzwa kwa 14,000/= na 14,500/= respectively.Je ni nzuri kwa kutumia kutengeneza matofali? Nipeni info kuhusu quality za cement hizo.
  6. Kibela

    Mwongozo:Jinsi ya kutuma parcel sumbawanga via bus.

    Hi JF, kuna mzigo mdogo nataka kutuma sumbawanga kwa kutumia bus la sumry nipeni mwongozo jinsi ya kufanya na je wanaaminika wale watu wa ofisini mwao ubungo?
  7. Kibela

    Ma-Bank ya Tanzania yanatuibia, BOT Mko wapi?

    Kuna bank flani hv nilikopa mshiko sasa nimelipa hadi nusu hivi, sasa nimeenda bank kuchukua letter of settlement cha kusikitisha ni kwamba wamenipiga fine zaidi ya 800, 000 nashangaa hyo fine ya nini wakati interest yao yote nimelipa? ebu wadau nifumueni hapo. Deni nalilipa lote pamoja na...
  8. Kibela

    Nahitaji Master na sebule ya bei rahisi

    Hi Wanabodi, Nahitaji chumba(master) na sebule vya kupanga,ningependelea k/nyama,mbezi beach,sinza,sala sala,makongo juu Bajeti yangu:Kuanzia 70 mpaka 100,ila ikiwa 70 nitalipa miezi 6 kama 100 miezi 4,Kama unavyo PM tufanye makubaliano
  9. Kibela

    Nauza Modem za zantel kwa sh 15,000/=

    Ni za CDMA,zina offer ya 3 days unlimited....Ni PM kwa maelezo zaidi,Speed Up to 3.1Mbps
  10. Kibela

    Shamba/kiwanja kinahitajika kibaha haraka!

    Mwenye heka moja Kibaha aseme nije kununua kiwanja(kisiwe karibu na barabara,hapa naogopa bei) na kama shamba liwe na wakazi kidogo maeneo hayo lisiwe polini kabisa.
  11. Kibela

    Musician Youssou Ndour Appointed Minister in Senegal

    The 52 year old Grammy-award winning Senegalese singer has been appointed Senegal's new tourism and culture minister in President Macky Sall’s cabinet. He ran for president late last year, but was disqualified. So he jumped to the forefront of an opposition campaign to unseat the country's...
  12. Kibela

    Premium account za sharedfile site

    Wadau mwenye account nataka kudownload file hili: http://oron.com/raerau5pkmx7
  13. Kibela

    Kibelaaaaaaa in da house!!!!!

    Hodi Wadau,Naingia kwa nduki.
Back
Top Bottom