Nahitaji Master na sebule ya bei rahisi

Kibela

Member
Mar 21, 2012
58
10
Hi Wanabodi,

Nahitaji chumba(master) na sebule vya kupanga,ningependelea k/nyama,mbezi beach,sinza,sala sala,makongo juu

Bajeti yangu:Kuanzia 70 mpaka 100,ila ikiwa 70 nitalipa miezi 6 kama 100 miezi 4,Kama unavyo PM tufanye makubaliano
 
huwezi kupata nyumba maeneo hayo kwa 70000 hivi wewe umeishi bongo kweli au ulilkua unaishi tabora

Hee kwani Tabora sio Bongo mwambie hivi wewe uliishi Dar na sio Bongo.Bongo maana yake kwa siku hizi ni Tanzania au Bongoland wewe ndio unatoka mikoani kweli naona unamtoa mwenzio ushamba nafahamu watu mlioishi mikoani kwa muda mrefu mnaita Dar Es Salaam Bongo teh teh teh
 
Hi Wanabodi,

Nahitaji chumba(master) na sebule vya kupanga,ningependelea k/nyama,mbezi beach,sinza,sala sala,makongo juu

Bajeti yangu:Kuanzia 70 mpaka 100,ila ikiwa 70 nitalipa miezi 6 kama 100 miezi 4,Kama unavyo PM tufanye makubaliano

hizo bei za kigogo, au nje ya mji. sidhani kama hata kibaha unapata. hapo makongo 150,000/= chumba na sebule choo cha kukimbia na kopo la maji huku ukifika foleni. wewe rudi tu kijijini ukalime mjini pameshakushinda.
 
Back
Top Bottom