Search results

  1. M

    Siasa za mashtaka na kisa cha muuza pikipiki

    Jamani mwenzenu nusuru yanipate hapa Bongo. Nilikutana na dalali aliyekuwa ananiunganishia na muuza pikipiki maeneo ya Mikocheni. Alidai kuwa pikipiki atakayoniuzia ni mpya, nzuri na haijatumika sana, na bei yake ni sawa na bure na ina vibali vyote. Nilikuwa na uhitaji nayo kwa kweli, hivyo...
  2. M

    Tuache longolongo, Je ni kweli Halima Mdee hajawahi kuongelea barabara?

    Kama barabara za Kawe ni mbaya mchawi ni serikali ya CCM sio Halima Mdee. Kila mtu ahukumiwe kwa matendo yake.
  3. M

    Asante Lissu amesababisha ajira za walimu kutangazwa, hotuba ya bajeti ya Waziri hapakuwa na hilo

    Ni mtu mpuuzi tu anayeweza kumdharau mtu kama Tundu Lissu. Lissu kasema Serikali haijaaijiri walimu tangu 2014, hapo hapo serikali inaitupa bajeti ya Ndalichako na kaika hali ya kupaniki inatangaza kufungua dirisha la kuajiri walimu kwa maelfu. Katika hotuba ya waziri wa elimu, yeye aliahidi...
  4. M

    Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi

    Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kutumika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa ya uhujumu uchumi. Fedha kiasi cha TSh bilioni 1, kilichotwa na...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Msimamizi Msaidizi Kata ya Ambureni agoma kutoa Fomu ya Rufaa kwa aliowakata, asema wazifuate kwa Mwenyekiti wa NEC Dodoma, amgomea hata DED

    Huyu msimamizi ana nyodo sana, jana kakataa kuwateua wagombea Udiwani wa Vyama vya Upinzani ikiwemo CHADEMA na ACT. Anadai kuwa hawakulipa shilingi elfu 5 za ada ya kugombea wakati risiti wanazo na waliambatanisha. Ikiwa imesalia chini ya saa 1 KWA AJILI YA RUFAA, bado hataki kutoa fomu ya...
  6. M

    Afisa Mtendaji wa Endashang'weti - Karatu aanguka na kuteguka mguu akiwakimbia wagombea wa CHADEMA

    Dunia haiishi vituko, safari hii ni huyu Afisa Mtendaji wa kijiji cha Endashang'weti kilichopo Wilayani ya Karatu anayefahamika kama Raymond Mwasha. Akiwa hajui hili wala lile alifika Ofisini saa 3 hivi na kukuta pasipo kutarajia wagombea wa ujumbe wa Serikali ya kijiji na mgombea uenyekiti...
  7. M

    HAKIMU ANAWATIA HATIANI WASHTAKIWA HALAFU WANAJITETEA KUPUNGUZIWA ADHABU ANADAI HOJA HIZO NI NZITO MAHAKAMA HII HAINA UWEZO ANATUMA FAILI WILAYANI

    Wanasheria nisaidieni. Katika kesi ya wizi HAKIMU ANAWATIA HATIANI WASHTAKIWA HALAFU WANAJITETEA ILI KUPUNGUZIWA ADHABU. Mmoja akasema anaumwa vidonda vya tumbo, mwingine akasema anaumwa mkono na kifua. Baada ya hapo Halkimu Anasema HOJA HIZO NI NZITO MAHAKAMA HII HAINA UWEZO WA KUSIKILIZA...
  8. M

    DC Arumeru atoa siku 3 bendera za CHADEMA zishushwe wilayani kwake

    Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro ametoa siku 3 kwa Maafisa tarafa na ma -WEO wote kuhakikisha wanawaweka lupango watu wote wanaokaidi kushusha bendera za CHADEMA wilayani humo. Amesema mtendaji atakayekutwa kuna bendera inapepea katika kata yake atakuwa amejifuta kazi. Amesema hayo leo...
  9. M

    Hili kosa kama atalifanya CAG wiki hii basi atakuwa amepatikana na atasimamishwa kihalali

    Wandugu, Katiba inamtaka CAG kuipeleka bungeni Ripoti ya Ukaguzi yeye mwenyewe moja kwa moja endapo Rais atauchuna. Sasa akiogopa kuipeleka kwa sababu ya vitisho au azimio feki, basi wale wawindaji wake watapata kigezo cha kumshughulikia kwa kushindwa kufanya jambo analoamriwa na katiba na kwa...
  10. M

    Kwa hukumu hii maana yake msajili ana mamlaka ya kumtambua Dkt. Slaa kama Katibu Mkuu wa CHADEMA hata kama chama hakimtambui

    Wengi wamejikita katika kitendo cha Maalim au CUF Taasisi kujiunga na ACT - Wazalendo na kusahau hukumu ya ajabu katika historia ya Tanzania. Ni kwamba, Jaji kasema kwa vile Msajili ana madaraka hata ya kukifuta chama, basi madaraka ya kuamua mambo ya ndani ya vyama anayo na kwa maana hiyo hiyo...
  11. M

    Kama una moyo mwepesi usisome: Majirani wamuokoa mfanyakazi wa ndani aliyekuwa akipata mateso ya jehanamu

    Hii ni kali. Simulizi za Mama mwenye nyumba kumpa matesp msichana wa kazi na hatimaye majirani kugundua na kuliripoti tukio kwa mamlaka za juu, hii lazima ulishawahi kuisikia na sio mara moja. Vyombo vya habari na mitandao ya kijamii imejaa visa hivi: Kumbe watu wa nje wakijua ukatili kwa nyumba...
  12. M

    Vitabu visivyo na ithibati ya TIE vyapigwa marufuku, wamiliki wa shule Arusha waanza kulia

    Ikiwa ni siku ya kwanza kufunguliwa shule, wakaguzi wameanza kupita mashuleni kukagua kama shule zimenunua vitabu visivyo na ithibati. Kuna shule moja iliyoko maeneo ya Njiro wameambiwa wavikusanye. Sasa sijui watavipeleka wapi. Mwalimu Mkuu ameomba waviweke maktaba kama vitabu vya ziada...
  13. M

    Hadi sasa DC Mnyeti, DAS, DED na madiwani hawajakanusha

    Ni zaidi ya wiki sasa sijasikia hata mmoja aliyetajwa na kuonekana kwenye zile video akiwa amekanusha kuwa yale maneno si yake au ile picha si yake. Hao watu wa pembeni wanaoonekana kusemasema wamewatuma wao ili kupima upepo au? kwanini wasijitokeze wazi hadharani wakanushe? Nasari dogo janja...
  14. M

    Walfugang Pinda ambaye ni mdogo wa W/Mkuu Mstaafu Pinda ashinda Uenyekiti CCM wilaya ya Mlele

    Uchaguzi huo ulifanyika juzi katika ukumbi wa Chama cha Msingi cha Wakulima Ukonongo, Inyonga wilayani Mlele, mgeni rasmi akiwa waziri mteule wa Wizara ya Maji, Mhandisi Izack Kamwelwe ambae ni Mbunge wa Jimbo la Katavi. Awali katika hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo, msimamizi wa uchaguzi...
  15. M

    Waliojiuzulu udiwani kwa kuahidiwa ajira TRA, Maliasili na Halmashauri, baada ya mpango kufichuka, je wataajirika?

    Wadau swali ndio hilo, Waliojiuzulu udiwani kwa kuahidiwa ajira TRA, Maliasili na Halmashauri ya Arusha DC, baada ya mpango kufichuka, je wataajirika? Jibu ni kuwa mamlaka hizo zikiwaajiri zitakuwa zimejidhalilisha kwamba huajiri watu kwa ushawishi wa wanasiasa na sio vigezo. Zitaonekana kuwa...
  16. M

    Tuelimishane jinsi ya kupata na kunufaika na fursa za Hoima - Tanga pipeline

    Kama mlivosikia kuwa bomba hilo la mafuta litagharimu sh. Trilioni zaidi ya 7 Zabuni za ujenzi zinatazamiwa kutangazwa mwishoni mwa mwaka huu na hivyo ujenzi wa bomba utaanza katikati ya 2018 na kukamilika katikati ya mwaka 2020. mradi unatazamiwa kudumu kwa miaka 25 hadi 30. mafuta...
  17. M

    Michango ya Wabunge ililipa rambirambi kwa ndugu wa walioangukiwa na mti Arusha

    Michango ya pesa walizotoa Wabunge ililipa rambirambi kwa ndugu wa walioangukiwa na mti. Hayo si maneno yangu bali ni kwa mujibu wa ripoti ambayo Mkuu wa Mkoa ameitoa (ipo humu itafute). Maswali la kujiuliza; 1. Je, wabunge walikuwa wamelenga hivyo? 2. Baada ya mabadiliko hayo madogo (ambayo...
  18. M

    Wabunge wakilijua hili sijui itakuwaje.

    Nisikuchoshe, soma namba tatu (3) hapo chini:
Back
Top Bottom