Search results

  1. Posho City

    Mfumo wa Lawson haupatikani; Tatizo ni nini?

    Maafisa utumishi mliopo humu tunaomba mtwambie, sasa ni wiki ya pili mfumo LAWSON haupatikani nchi nzima. Tatizo ni nini na itarejea lini? Fomu yangu ya mkopo imekwama mezani kwa hii wiki ya pili sasa kisa mfumo!
  2. Posho City

    Nahitaji kitanda used cha mbao (5×6) au dressing table

    Wadau nina shilingi laki moja na ninahitaji kitanda cha mbao size hiyo juu..kwa bei hiyo najua kitakuwa used maana kipya sitapata.. Lakini pia nahitaji dressing table kwa maana kuwa kitakachotangulia kipatikana basi kingine sinunui.. Nipo mkoa wa Pwani...Kibaha Picha ya ndege..mawasiliano njoo pm
  3. Posho City

    Stabilizer aina ya Sollatek inanisumbua

    Nimenunua stabilizer aina ya SVS...SOLLATEK VOLTAGE STABILIZER...kiujumla iko imara lakini inanisumbua...umeme ukitokea ukakatika na ukarejea inatumia wakati mwingine hata saa4 kuruhusu output current.. Sasa tangu juzi jtano haijaruhusu kabisa....inawaka taa ya kijani na nyekundu kule kwenye...
  4. Posho City

    Msaada: Naomba kufahamishwa namna ya kuomba kazi kupitia 'Ajira Portal'

    Nataka kuomba kazi kupitia ajira portal na ndiyo mara yangu ya kwanza kutumia huu mfumo.. sasa kuna mambo naomba kufahamishwa ili nisikosee.. Vyeti nikishaviscan hasa kile cha form four na form six naviattach kipengele gani? Je CV inatakiwa niitype them niiscan au niitype moja kwa moja na...
  5. Posho City

    Nipo Kibaha Mjini nahitaji mbuzi na bajeti yangu ni elfu 50 tu

    Wadau amani kwenu Kama nilivodokeza hapo juu,nipo Kibaha picha ya ndege na nahitaji kununua mbuzi jinsia yyte ilimradi anafaa kwa kuchinjwa...Kuna ligi ya mpira inaisha ijumaa hii na mshindi wa siku hiyo anatakiwa apate mbuzi mnyama.. Bajeti yangu ni elfu50 tu...kwa wadau wa maeneo ya karibu...
  6. Posho City

    Utumishi na rais tunusuru wafanyakazi shirika la elimu Kibaha

    Kwanza nianze kumshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa uhai... Mheshimiwa raisi wa Tanzania na waziri wa UTUMISHI najua huku mitandaoni mnapitia sana....Leo naleta kilio hiki cha sisi baadhi ya watumishi walimu wa shirika hili la umma la elimu Kibaha.. Hili shirika lina idara mbalimbali ikiwemo...
  7. Posho City

    Ushauri kwa serikali: Toeni waraka wa kutengua ule wa tarehe 13June 2016

    Tarehe hiyo tajwa juu serikali kupitia utumishi ilitoa waraka uliositisha ajira mpya...upandaji vyeo....nyongeza za mishahara na n.k. Kwa sasa pasipo waraka wa kutengua ule waraka tayari hali imeanza kurejea kawaida ambapo baadhi ya ajira zilizositishwa zimerejweshwa..vyeo vya baadhi ya watu...
  8. Posho City

    Ajira mpya zilizositishwa

    Wakuu wa jf Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
  9. Posho City

    Maafisa wanaoandaa cheki za mafao NSSF Ilala Boma ni majipu

    Kwanza nitoe warning kwamba hii tarehe mlonipa leo nikija mkanipa nyingine jua kabisa siku hiyo hatutaelewana maana hamna sababu za msingi zaidi ya uzembe....Meneja wa NSSF Ilala Boma sijui kama unajua na umekubaliana na hao maafisa wako wanaoandaa cheki za watu tunaojitoa...(fao la kujitoa)...
  10. Posho City

    Chumba cha kupanga Kibaha.

    Nitaka kuhamia maeneo ya Kibaha mjini hadi kwa Mathias... Nahitaji kupanga chumba na sebure maeneo hayo na sifa za chumba kiwe na choo chake na ikibidi wapangaji wasizidi watatu.. Je maeneo hayo ntapata kwa shilingi ngapi vyumba vya ina hiyo? Bajeti yangu ni 60-70 kwa mwezi....
  11. Posho City

    Utumishi makao makuu waweza fanya hili?

    Naomba wale hasa maafisa utumishi serikalini mnambie kama utumishi makao makuu au Hazina wanaweza kumterminate mtumishi wa umma kwenye payroll ya serikali bila afisa utumishi wa kituo cha kazi cha mtumishi huyo kujua... Mimi nimeingia payroll tarehe 1-6-2016 baada ya kuwa nimepata kibali cha...
  12. Posho City

    TSD vs katibu mkuu utumishi

    Nilipata matatizo nikaondoka kazini bila taarifa kwa mwajiri wangu.Kilichofata mwajiri akanifuta payroll. Baadae nikapata kazi nyingine ya serikali kwenye taasisi nyingine..lakini ishu ikaja kwamba nilishawahi ajiriwa kwahyo siwezi fanya chochote hadi nirudi kwa mwajiri wa zamani anirudishe...
  13. Posho City

    Kuacha kazi kwa notice ya siku 28

    Wakuu za leo, Katika utumishi kuna utaratibu wa kuacha kazi kwa kumpa mwajiri taarifa ya siku 28 au mwezi mmoja. Swali langu je katika huo mwezi wa notice mwajiri anakulipa mshahara au unafanya kazi bila malipo? Ahsanteni.
  14. Posho City

    Nahitaji meza ya ndani

    Kama kuna mtu anauza meza ya ndani kwa bei za kwetu walalahoi basi anijulishe hapa nahitaji.....nipo Dar Tabata.
  15. Posho City

    Vibali vya kurejea Utumishi wa Umma batch ya sita

    Wadau salaam kwenu!!! Utumishi huwa kuna utaratibu wa watumishi wa umma waliofutwa payroll na baadae kupata kazi sehemu nyingine kuomba vibali kwa katibu mkuu kiongozi. Kuna utaratibu unafanywa na mtumishi huyo anapewa kibali cha kurejea au anakataliwa. Hapa naomba kujuzwa maana majina ya...
  16. Posho City

    Till za Tigopesa na M-Pesa zinahitajika

    Kwa wale wafanya biashara za tgo pesa na mpesa kama kuna anayeuza till za tgo pesa na mpesa...nazihitaji.....Kqma unazo please nitumie PM(private message) Nipo Dar es salaam
  17. Posho City

    Digital kamera aina ya Kodak

    Wadau kuna mtu anataka kuniuzia kamera aina ya kodak lkn nimeshtuka baada ya kupita maduka ya kamera Kariakoo na kuikosa duka lolote..... Je ina maana hii aina haipo tena katika mzunguko??na kama haipo ikitokea nahitaji spear ntapata wapi???
  18. Posho City

    Makamanda wa CHADEMA nielekeze ilipo ngome

    Wadau naomba kujuzwa zilipo ofisi za chadema alimaarufu kama ngome....Ngome ni ofisi za CHADEMA ambazo zipo Kawe lakini nataka nielekezwe ni Kawe sehemu gani na kama natokea Tabata nafikaje huko Ngome...AHSANTE
  19. Posho City

    Kwa wauzaji wa simu na spare zake

    Nahitaji kioo...(display)ya simu aina ya SONY Z4....sio original ni copy......Nipo Dar es Salaam...... Kwa msisitizo....simu ni SONY Z4....copy..... Kama unacho nitumie pm au niwekee namba zako nikutafute...
  20. Posho City

    Nauza vifaa vya CHADEMA

    Mimi nipo DAr Tabata...ni muuzaji mpya wa vifaa vya chadema kama tisheti...kofia za kapelo na zile za kawaida....Tatizo mimi kwa kuwa sina uzoefu mara nyingi nimekuwa nikinunua kwa bei ya jumla makao makuu ya chama Kinondoni ambayo ni bei kubwa.. Ukija mtaani unakutana na wauzaji wenzangu wenye...
Back
Top Bottom