Stabilizer aina ya Sollatek inanisumbua

Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
647
415
Nimenunua stabilizer aina ya SVS...SOLLATEK VOLTAGE STABILIZER...kiujumla iko imara lakini inanisumbua...umeme ukitokea ukakatika na ukarejea inatumia wakati mwingine hata saa4 kuruhusu output current..
Sasa tangu juzi jtano haijaruhusu kabisa....inawaka taa ya kijani na nyekundu kule kwenye input...

Kuna fundi wa TV na redio nimemuomba ushahuri akasema hizo stabilizer ndivyo zilivyo..
Sasa naombeni ushauri nifanyeje?
 
Back
Top Bottom