Search results

  1. Am For Real

    Mwanaume ukiweza kushinda tamaa ya ngono mke hatakuendesha

    Wanawake wengi wanatumia ngono kama kiboko ya kumchapia mume. Na ukianguka kwenye huu mtego mwanamke atakuendesha kama gari bovu. Kwanza atahakikisha anakukoleza na kukupa mahaba mazito ambayo hajawahi kuonekana Dunia hii. Ukiingia mzima mzima sasa ndyo unajikuta hujiwezi. Pasipo ngono basi...
  2. Am For Real

    Ni umri gani mtoto aendelee kulala kitanda kimoja na wazazi?

    Mkuu hapo hapo umenikumbusha nimeshuhudia Sana hii Kwa majirani zangu kiasi kwamba mpaka naona aibu kuuliza japokuwa najua sio jambo zuri. Mara nyingi nimeshuhudia mama anamchukua mtoto wake wa kiume wa Miaka 5,6 au 7 wanaenda bafuni na wakitoka wote wameoga.
  3. Am For Real

    Ukizawadiwa tunda kirahisi usile kwa mapepe

    Wazungu wanasema “if you see the deal is too good think twice”
  4. Am For Real

    Ukizawadiwa tunda kirahisi usile kwa mapepe

    Unaweza Kuta anajirahisisha Hataki hata utumie ndom.Kimbia haraka Sana.
  5. Am For Real

    Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Usiongee Chochote ishi na yeye ni kama hayupo nguo zako jifulie,kula mgahawani,Jifulie,akikuongelesha kuwa bubu labda aongelee swala la kununua unga hapo umsikilize.Usimpe attention yeyote.Siku Tatu hatoboi akikuuliza chakula Cha mtoto kuwa bubu.Kaza.
  6. Am For Real

    Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Hajakubali Kununua unga hapo ilibidi ukae kimya na umuignore Wala usimpe attention alafu uendelee kula migahawani kwa muda. Yeye mwenyewe angechoka. Alikuwa anakupima.
  7. Am For Real

    Upendo wa Mama ni muhimu lakini Upendo wa Baba muhimu sana pia

    Habari Wana JF.Ni kijana wenu nimekuja Tena kuleta experience yangu ya kuishi na mama mpaka umri wangu huu wa utu uzima.Bila kuwapotezea muda niliyoyagundua ni haya kutoka Kwa Mama na Baba japo sijabahatika kuishi na Baba. 1 Kwanza Mama zetu na Baba zetu wote wanatupenda lakini Kuna utofauti...
  8. Am For Real

    Je mazoezi haya nayofanya hayawezi kuniletea madhara kiafya?

    Kama roho Yako inakosa amani Bora uache
  9. Am For Real

    Ni sahihi mke na mme au wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi?

    Mithali 14:12 Iko njia ionekanayo kuwa sawa Kwa mtu bali mwisho wake huelekeza mautini. Mithali 3:5_6 Mtumaini Bwana Kwa moyo wako wote Wala usitegemee ufahamu wako mwenyewe;Katika Kila njia zako mtambue,naye atazielekeza njia zako. Nipende kusema watu wanaofanya mambo kama hayo wanafungua...
  10. Am For Real

    Kuna umuhimu gani wa kucertify vyeti kipindi hichi Cha kusubiri ajira mpya?

    Wakuu habari zenu, Napenda kujua ni kweli lazima kudhibitisha vyeti vya masomo Kwa mwanasheria Kwa kupiga mhuri Kwa mwanasheria ikiwa unataka kuomba ajira serikalini. Na je Kwa waliowahi Fanya hivi, hii huduma waliipata Bure au mpaka uwe na kiasi Fulani. ##Ajira Mpya ##Wivu utawaua vibaya sana
  11. Am For Real

    Je ni sahihi kumuosha mzazi wako anapopatwa na magonjwa au kuzeeka

    Biblia inakataza hayo mambo yote niliyoandika na uwezo wa kwenda kuzimu ni hivi hivi unajiona.
  12. Am For Real

    Je ni sahihi kumuosha mzazi wako anapopatwa na magonjwa au kuzeeka

    TUPUUZE HUU UPUUZI.UZI UFUTWE.ONE LOVE.
  13. Am For Real

    Wadada wengi hawajisafishi

    Una makasiriko au umekutana nao Sana wakakupa Gono.Wewe mwenye werevu umekupeleka wapi??
Back
Top Bottom