Search results

  1. Mussa kiraka

    Traffic wa bongo noma

    nilikua kituoni mwenge ghafla katokea trafik akamwita kondakta njoo alafu akaenda kwenye meza ya magazeti akachukua magazeti mawili akaondoka konda ndie mlipaji bila kupatana. je hii ni haki kweli?
  2. Mussa kiraka

    nisaidieni jaman eti modem ya .......

    mambo zenu wana jf nna modem ya sasatel kwa kwel sina uzoefu nayo nataka kununua kifurushi nitanunuaje? msaada tafadhal zawadi nono kwa atakae wahi
  3. Mussa kiraka

    Niongezee nipate mengi

    ntu nti nkuu wa nkoa nkwe njomba nchale chimba nkali chana chimama utembee
  4. Mussa kiraka

    Mbagara noma teja anauza cm ya mtu ikiwa bado hajaiiba

    nilikua nipo stand na msubiri rafiki yangu gafla akaja mlevi wa unga (Teja) na mtu mwengine kufika nilipokaa wakaanza kuulizana bei utanipa shilingi ngapi? jamaa akamjibu lakin yule teja hakuridhika na ile bei wakaendelea kubishana teja anasema ongeza pesa jamaa akawa anakataa mwisho teja...
  5. Mussa kiraka

    Gwaride jeshini

    Mkuu wa kikosi alikua anakagua kikosi chake jeshini. wanajesh wote walipanga mstar mbele na nyuma. afande john alikua mbele na afande robert alikua nyuma hawa huwa wanataniana. sasa afande robert aliona nguo ya afande john imeingia mat***oni, kwa msaada ili rafiki yake asiaibike afande robert...
  6. Mussa kiraka

    Bingwa wa kukosea

    hey muuzaji niwekee chipsikaki na mishkuku 7. naomba kahawa na katasha mbili haya nipe na wewe tuone nani bingwa
  7. Mussa kiraka

    Mh! yan adi aibu

    Mambo vipi? wana nimeingia kitambo bila hodi lakin nashukuru cjamkuta mtu anavaa. je ungekua upo uchi na me nimeingia bila hodi ungenikaribisha?
  8. Mussa kiraka

    kali kuliko

    Mshua mwenye iman za kishirikina alienda sumbawanga kuchukua waganga wa 3 waje kumfanyia mambo mipango yake ikae sawa (katika gari binafs noah) kila mganga anatoa ujuz wake kwa mwenzie ndan ya gari wanapimana nguvu Wa 1- akafanya mambo mvua kubwa ikawa inanyesha baada ya masaa 4 ikakata...
  9. Mussa kiraka

    Tax driver na abiria wake

    tax driver amepaki gari ghafla kaja demu uchi kapanda katika gari mazungumzo yalikua iv Demu- nipeleke kariakoo dereva akawa anamshangaa Demu- unashangaa nini kwan huujui uchi wewe? Dereva- sikushangai wewe najiuliza umeweka wapi naul yangu?
  10. Mussa kiraka

    Msomi na mvuvi

    Msomi alikua anataka kuvuka mto kwa mtumbwi maongezi yao yalikua hivi- Msomi-ndugu umesoma mpaka darasa la ngapi? Mvushaji- darasa la 7 Msomi- umepoteza asilimia 20 ya maisha yako. Msomi-umeshawahi kupanda ndege? Mvushaji- hapana! Msomi-umepoteza asilimia15 ya maisha yako. kufika...
Back
Top Bottom