Gwaride jeshini

Mussa kiraka

Senior Member
Mar 4, 2012
106
13
Mkuu wa kikosi alikua anakagua kikosi chake jeshini. wanajesh wote walipanga mstar mbele na nyuma. afande john alikua mbele na afande robert alikua nyuma hawa huwa wanataniana. sasa afande robert aliona nguo ya afande john imeingia mat***oni, kwa msaada ili rafiki yake asiaibike afande robert akaichomoa ndipo afande john akageuka kwa gadhabu na hasira akamwangalia afande robert alafu akasonya kwa nguvu, nae afande robert akachukia na akaamua kuirudishia ile nguo na kidole cha kati kilichojiri hapo nadhan unaelewa mjeda akichukia
 
Back
Top Bottom