Search results

  1. C

    Je, kuna mwenye kuifahamu vyema Bachelor of Metrology and Standardization?

    Maybe hujaelewa ila hiyo ni shahada ya vipimo na viwango. Kazi zake ni kwenye vituo vya mafuta, Weight and measure, TBS nk
  2. C

    Series (Special thread)

    Trrrrrr
  3. C

    Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

    Angalia pampu ya mafuta. Ijaribu ikiwa tambarare kwa kuweka hata tofali na kujaribu kulipanda. Iwapo itashindwa jua hio pampu imekufa. Nilipata tatizo hilo na nilitatua kwa jinsi hii.
  4. C

    Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

    Tatizo laweza kuwa VVti sensor. Ndio inayo control rpm kwa kubalance mafuta na hewa. Nilipata tatizo hili lakini nilitatua kwa kubadili vvti sensor kwa 50k only
  5. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Za mpira zipo scrambled mkuu ila haina shida maana nimetumia king'amuzi cha kwenye tv. Kwa sasa ndio nabadili kuweka kwenye qsat ili niwe nabadili audio format kwenye chanel ambazo hazina sauti
  6. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Nashukuru sana hasa BENNICK and darcity kwa msaada wenu hatimaye nimeinasa 57 kwa dish la dst*. Ntabadili baadae niweke dish la Azam kwa ajili ya kuongeza signal streght
  7. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Shukrani mkuu leo nipo off. Ngoja nikomae tu. Halafu uelekeo inaonesha kwenye azmuth ipo mbali kidogo na dst* nimejaribu kuangalia satfinder ya google map naona kama kwa hapa kwangu inabidi nizungushe sana kuelekea mashariki
  8. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Nipo mbali kidogo mkuu ntafanyia kazi maelekezo yako
  9. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    BENNICK asante sana mkuu. Dish ninalotumia ni hili dogo la dst*. Ntapiga picha nikutumie bado nipo kwenye majukumu. Hata hivyo unabinua kwa juu au kwa chini? eneo ni Dar- Gomz
  10. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    BENNICK na darcity Asanteni sana wadau maana wengine tunasoma na kujifunza. Nimejaribu kuitafuta nss 12 57e lakini sijafanikiwa. Natumia dish la ds** nikiscan nazipata radio tu pamoja na Addis tv nayo haioneshi. Nahisi nafeli kwenye elevation maana mie najua kuseach ds** tu. Hio hata ifanyeje...
  11. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Shukrani sana kwa kunitia moyo. Ntaleta mrejesho maana uliniambia ni kuelekea kulia ya hapo ilipo dstv bila kushuka wala kupanda. Ngoja tumalizie hii mechi kwanza
  12. C

    Hivi mtu akiua mtu aliyemfumania na Mke/Mume sheria inasemje?

    Defence ya kisheria katika ugoni ni "fragrento delicto" hii hutumiwa kama mitigation factor wakati wa sentencing.
  13. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    darcity shukrani sana ila napenda mtu anisetie kwa sat finder ili signal ziwe juu. Kama vipi nitakucheki dm . Nashukuru sana mkuu hope hadi weekend ntakuwa nshashughulikia
  14. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Decoder ya Qsat pamoja na AzskyHD G6 Nadhani Hilo hilo dish la dstv
  15. C

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Nimempa fundi mmoja hii task ila anasema hajajua ukubwa wa dish ili iweze kushika hio NSS 22 57 east. Kama unaweza dish la dstv linakamata naomba msaada. Ni hapa hapa Dar
  16. C

    Nauza King'amuzi Cha startime

    Mk Mkuu ushauza?
  17. C

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Ulikuwa hujaelewa nilikuwa namwambia huyo Mgjd hapo juu
Back
Top Bottom