Search results

  1. Mr.genius

    INAUZWA Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa

    Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa. Vifaa vilivyopo ni Drayer za kukausha 2, Drayer ya mkono 1, Drayer la stima 1, kioo kikubwa kimoja, rolas na tray ya rolas. Bei Tsh. Laki tano (500,000/=) vinauzwa vyote kwa pamoja. (As a package) Vifaa vipo Morogoro mjini. Kwa mawasiliano zaidi 0688476770.
  2. Mr.genius

    Mobile phone graphics designers special thread

    Sijui ilitakiwa iitwe 'smart phone graphics designer' au mobile phone (km limekaa kizaman hv [emoji2]) anyways kmsing tittle imeeleweka au sio?. [emoji106] Ok, hii thread itahusu na ni makhsus kwaajili ya wote wanaopenda kufanya graphx designing kwa njia ya cm na wenye interest na vitu km hv...
  3. Mr.genius

    Je, maksai anaweza kutumika kuvuta pampu ya maji?

    Salama wa kuu? Sina hakika kama tittle yangu km imekaa vzr, but ntajaribu kuielezea hapa. Ni kwamba nimekua nikijiuliza hili swali kwamba je, nguvu za ngo'ombe wa maksai zinaweza kutumika kuvuta maji kwa kutumia pump maalum ambazo zitaendeshwa na energy ya maksai? Sabab za kujiuliza swali hilo...
  4. Mr.genius

    Ni vipi naweza kuingiza pesa kwa kupitia digital arts?

    Nimekua na interest ya uchoraji (hasa wa cartoons) baada ya kupata simu moja hv aina ya Samsung Galaxy Note 4. Zile ambazo hua zinakua na kikalamu cha kuchorea wenyewe wanaita S-pen. Nmekua nikicheza sana na haka ka kalamu kwa kujifunza kuchora cartoons za picha za watu sasa kitu kimoja...
  5. Mr.genius

    Mbadala wa EFD mchines, let's use app instead.

    Hello bosses! Hope mko poa Iko hiv Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?Hizi mashine za kutoa risiti za TRA ni ghali hasa kwa mtu anayeanza biashara na hana uhakika wa mzunguko wa fedha. Uchunguzi mfupi niliofanya ni kwamba Bei ya chini kabisa ni...
  6. Mr.genius

    Karibu twende Bagamoyo tukafanye utalii wa ndani!

    Kampuni ya utalii ya Safari partners yenye makao makao makuu yake mjini Morogoro, inakuketea fursa ya kutembelea mji wa kihistoria wa Bagamoyo kwa gharama nafuu zaidi kwa safari ya siku moja itakayofanyika tar 15 ya mwez August mwaka huu!. > Gharama zitajumuisha breakfast, lunch and soft...
  7. Mr.genius

    Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya advertising agency inavyofanya kazi

    Salama wakuu? Naomba moja kwa moja niende kwenye mada. Kwanza kabisa naomba ku-declare interest kua mimi ni msikilizaji mkubwa sana wa radio na kwa namna moja au nyingine imenifanya kuwa mdadisi kidogo kuhusu matangazo yanayotangazwa kwenye radio. I mean yale matangazo wenyewe wanayoyaita ya...
  8. Mr.genius

    Msaada: Nafikiria kuanzisha biashara ya duka la kuuza vifungashio na mifuko mbadala

    Salama wakuu? kwema? niende kwenye mada moja kwa moja. Nafikiria kuanzisha duka la kuuza vifungashio vya bidhaa mbali mbali mfano: asali, karanga, ubuyu wengine wanawekea pilipili kiujumla wale wanaofanya biashara ya ku process na ku - pack vyakula vilivyoongezewa thamani hua wanatumia sana...
  9. Mr.genius

    Biashara ya 'kiboya' lakini yenye pesa ndefu!

    Kwenye jiji lenye mzunguko mkubwa wa hela kama Dar-Es-Salaam,biashara ni nyingi sana. Iwe kubwa ama ndogo;kila siku watu hubuni biashara au kazi mpya ambazo kwa namna moja ama nyengine huwaingizia kipato. Kuna wauza maji,kuna Dobi,kuna wakusanya uchafu,kuna wanaotoa huduma za usafi kama...
  10. Mr.genius

    Into this digital age, mambo ambayo hutakiwi kufanya.

    > Misscalls and msgs. Unakuta mtu anakutumia msg, halaf anakupgia kukuuliza "ile msg yangu uliipata?" meen! Tuko 2019 karne ya 21. Hili si swali la kuuliza. Hz digital devices tunazotumia zenyewe hua znajieleza vzuri tu kama msg uliyoituma imeenda itakwambia, km ime delivery itakwambia km...
  11. Mr.genius

    Technology base enterprises, where are they?

    Habari zenu wakuu, mambo vp? Mishe zinasonga? I know entrepreneurs are always busy people naamini harakati znaendelea za kulisongesha gurudumu la maendeleo binafsi na maendeleo binafsi yalete matokeo chanya kwenye nchi yetu, sasa nina mada kidogo hapa juu ya aina za biashara tunazo concetrate...
  12. Mr.genius

    Tujadili fursa mifuko mbadala

    Ndo biashara ya sasa inayokiki mjini, baada ya kupigwa marufuku mifuko ya plastic, thread hii ni ya kutoa michongo / fursa namna gani unaweza piga pesa kwa kuikamatia hii fursa. Mpaka sasa nmeona mifuko ya aina mbili kuu, hii ya kama materials za tissue na zile za karatasi za kaki. Thread hii...
  13. Mr.genius

    Anything to learn from Rugemarila Mutahaba?, let's talk...

    A Tanzanian guy born in brooklyn USA died in SA only at 49yrs old. The one and only named Rugemarila Mutahaba famous as Boss Ruge. Yanazungumzwa mengi sana kumhusu hasa kwa namna alivyogusa maisha ya wengi in a positive way kuanzia wanafamilia, his business partners, wafanyakazi wake na watu...
  14. Mr.genius

    Nataka kuanza kufuga nywele. Naombeni tips wazoefu kwenye huu utanashati!

    Sijawahi kufuga nywele japo kwa muda sasa nlikua natamani ila sasa naona ni wakati muafaka kufanya hivyo. Ni katika kubadili tu muonekano na kufanya kijana kua smart zaidi siunajua tena. Sasa before sijachukua maamuzi yoyote nimeleta kwenu mada hii kuomba ushauri kama ilivyo ada kwa wanajamii...
  15. Mr.genius

    Tanzania tuna upungufu mkubwa sana wa maudhui ya Biashara katika majukwaa na vipindi vya redio na runinga

    On my personal observation, naona tuna vyombo vichache sana vya habari vinavyoripoti habari za biashara na sijui ni kwanini!. Tunaupungufu mkubwa sana wa business magazines, TV shows au hata TV channel zenye habari za biashara 24/7. Na hata waandishi wa habari na waliobobea kwenye habari za...
  16. Mr.genius

    What do you know about E-commerce?

    Nmeleta kwenu huu uzi ili kufunguana macho, kuelezana kinagaubaga kuhusiana na biashara hii ilioegemea kuhusu Internet. Dunia imebadlika sikuizi manunuzi na uuzwaji siku hizi unafanywa online lakini hii biashara inafanyweje? Fursa gani ambazo kama mnunuzi au muuzaji unaweza faidika? Na...
  17. Mr.genius

    Mjasiriamali wa kitanzania!

    Kwanza ukikutana nae hivyo anavyojua kuilaumu serikali ya awamu ya tano, we acha tu! Atalalamikia mauzo hakuna, atalakamika wateja wamepungua, atalalamikia kodi, atalalamika miundombinu yaani hapo nime summarise tu kwa uchache sana to make the long list short. Mjasiriamali wa kitanzania sifa...
  18. Mr.genius

    "I just don't know how to sing, I just know HOW to drop the HITS" Says Diamond!

    Mi nakazia tu... Know how to sell, Know what to sell, know how to develop a product to sell, Selling is the most important skill for any entrepreneur. Kua na product / service / mtaji wa biashara doesn't guarantee you to be success (make a profit) kwenye biashara yako. Ni lazima UUZE tena...
  19. Mr.genius

    Msaada, biashara ya Advertising agency company

    I hope mko poa wakuu. Direct to the point... Kwa muda sasa nimekua interested na matangazo, napenda sana kusikiliza matangazo ya radio, tv hata nikiona tangazo (lolote tu lile) kwenye gazeti au mtandaoni navutiwa kuiangalia na hua najiulizaga maswali mengi sana behind the scene kama ni nani...
  20. Mr.genius

    How to turn education service to enterprise!

    Salama wakuu? Naimani kwa majaaliwa yake mola mko poa, mniruhusu nielekee kwenye mada! Nmeuleta huu uzi mahala hapa kua uwanja wa majadiliano ya kina kuiangalia hii sekta ya elimu ni kwa vipi wajasiriamali wa elimu (wachanga na wakongwe) wanaweza kuboresha huduma ya kutoa elimu kwa kuweka...
Back
Top Bottom