Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,369
- 1,169
Ndo biashara ya sasa inayokiki mjini, baada ya kupigwa marufuku mifuko ya plastic, thread hii ni ya kutoa michongo / fursa namna gani unaweza piga pesa kwa kuikamatia hii fursa.
Mpaka sasa nmeona mifuko ya aina mbili kuu, hii ya kama materials za tissue na zile za karatasi za kaki.
Thread hii itakua special kujibu maswali ya wadau kuhusu biashara hii, maswali kama..
> Kwa wanaotaka kununua mifuko kwa bei ya Jumla na wao waende kuuza mzigo wanaweza kupata wapi na kwa bei gani?
> Kwa ile mifuko ya karatasi ya kaki nayo unaweza ukapata wapi? Je, inatengenezwaje? Kwa mashine maalumu au hata kwa mkono tu unaweza kuanzisha kiwanda? Na je materials znapatkana wapi na kwa bei gani?
Kama wewe ni muuzaji basi nafasi ndio hii, tangaza aina na size ya mifuko yako unayouza.