Search results

  1. A

    Tujikumbushie enzi za malani.

    Wana chit-chat heshima mbele, kwa watoto wa 90 miongoni mwa michezo ilikuwa malani, mitaani kulikuwa na mabingwa ambao waliogopeka kwa malani maana hao unaweza rusha ngumi au kulia. Shuleni vivyo hivyo. Hebu tujikumbushie enzi hizo za malani, tukianzia: kichwa kikubwa kusikitika huwezi, pua ka...
  2. A

    Wanafunzi wamtesa konda.

    Usiku mmoja konda alikuwa amelala, ghafla mdogo wake akaamka na kwenda chooni, alivyorudi ile anafunua neti tu, konda akamzuia na kumwambia wanafunzi wanatosha..
  3. A

    Yaliyotokea mtaani kwetu kwa mwizi

    Kuna mwizi mmoja alikuwa anavunja dirisha katika mojawapo ya chumba cha mpangaji m1 katika nyumba yenye wapangaji wengi. Bahati mbaya alikamatwa kabla ya kutimiza adhma yake. Wapangaji wakaamua kutopiga kelele ila wamkameruni iwe fundisho. Walipomaliza wakamwacha huru. Siku iliyofuata mida ya...
  4. A

    Poll: Kitafunio kipi bomba kwa chai?

    Chapati kiporo vitumbua andazi kisheti kababu ugali............n.k
  5. A

    Tahadhdri kubwa sana kwa watumiaji daladala dar es salaam

    Mallya Prosper about an hour ago near Dar es Salam · kuwa makini TAHADHALI KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA DALADA JIJINI DAR JUMAPILI ILIYOPITA MJOMBA WANGU ALIKUWA KWENYE DALADALA AKITOKEA UBUNGO KWENDA TEGETA.BASI LILIPOFIKA MWENGE ABIRIA WALIONGEZEKA NA WENGINE WAKAWA WAMESIMAMA,KATI YA...
  6. A

    Ni majina ya wanaJF gani huwa yanakufurahisha sana?

    mi yanayonifurahisha sana ni: mchaga hazikwi dar dudu washa hutaki unaacha kiboko yenu..............
  7. A

    Msaada wa ushauri wa kupata ajira kwa fresh from school.

    Wakuu heshima mbele! Mimi ni kijana ambaye nimehitimu elimu ya chuo cbe dodoma. Nimeona nije kuomba ushauri au mbinu mbadala ya kuweza kupata ajira japo sina experience. Wakuu ni muda sasa toka 2010 nimekuwa nikiomba kazi sehemu mbalimbali ila kwa kweli sijabahatika hata kuitwa ktk interview...
  8. A

    Siku tatu zishapita mbona Shibuda upo kimya?

    HUYU MWESHIMIWA ALITOA SIKU TATU KUOMBWA RADHI NA MWENYEKITI WA BAVICHA NDUGU HECHE LA SIVYO ANGELIPUA BOMU KUHUSU CHADEMA, SASA SIKU ZINAENDA NA HAJATEKELEZA ALICHOSEMA MBELE YA MEDIA MAANA HECHE HAKUMWOMBA RADHI. JE ULIKUWA MKWARA AU ANAKUSANYA NYARAKA ZAIDI NDO AJE KULIPUA, MIMI BINAFSI...
  9. A

    Wosia wa baba wa taifa juu ya muungano, hasa suala la kujitenga.

    ''WATU WANAZUNGUMZA UZANZIBARI!!!!'' ''WATU WANAJIVUNIA UZANZIBARI!!!'' ' Tunataka KIONGOZI na VIONGOZI WATAKAOELEWA HIVI, ''KUZUNGUMZA UZANZIBARI SI JAMBO LA FAHARI HATA KIDOGO, HATMA YAKE UTAVUNJA NCHI'' ''MZANZIBARI MWENYE AKILI HAWEZI KUUTUKUZA UZANZIBARI, KWA KUJIITA SISI...
  10. A

    Raia wa mali wavamia ikulu na kumpiga raisi na kumchania nguo.

    Raia wenye hasira kali dhidi ya mambo yanavyoenda nchini mwao, wamevamia ikulu na kumshushia kipigo raisi wa mpito wa nchi hiyo kupinga kuongezwa kwa muda wa serikali hiyo uliodhaminiwa na ECOWAS. Habari zinasema wakati akishushiwa kipigo walinzi wake walikua wakitazama na vyanzo vingine...
  11. A

    Je wewe utakuwa wapi milele?

    Mpendwa msomaji, wewe na mimi, sote ni wanadamu, na bila kujali vyeo vyetu, utajiri wetu, umaarufu au usomi wetu, au umri wetu sisi sote tutakufa na kuiaga dunia hii. Marafiki na ndugu zetu wengi, wamekufa. Wengine wakiwa watoto, vijana, na wengine wazee. Hakuna kanuni yoyote. Maisha...
Back
Top Bottom