Siku tatu zishapita mbona Shibuda upo kimya?

anin-gift

Senior Member
Feb 17, 2012
168
73
HUYU MWESHIMIWA ALITOA SIKU TATU KUOMBWA RADHI NA MWENYEKITI WA BAVICHA NDUGU HECHE LA SIVYO ANGELIPUA BOMU KUHUSU CHADEMA, SASA SIKU ZINAENDA NA HAJATEKELEZA ALICHOSEMA MBELE YA MEDIA MAANA HECHE HAKUMWOMBA RADHI.

JE ULIKUWA MKWARA AU ANAKUSANYA NYARAKA ZAIDI NDO AJE KULIPUA, MIMI BINAFSI NASUBIRI SANA MAANA NAMUHESHIMU SANA. KINYUME CHA HAPO HUYU BABU ATAKUWA HAAMINIKI TENA:A S-confused1::angry::A S angry::frusty:
 
Yule ni kibaraka wa chama alichotoka na hana jipya kwa wanamageuzi kwani siku zake zinahesabika.
 
Mkuu hata mm nashangaa huyu Shibuda anajifanya anamabiti ya kitoto sana, alifikiri Heche atababaika kijinga na matokeo yake Heche ndo akakandamiza msumari wa moto pale jangwani na mpaka leo Heche anaendelea tu na harakati bila woga.
 
Muimba taaarabu huyo, mambo yake ni ya kikekike tu, mafumbo, methali, nahao vimemjaa. Aende zake huko aliktoka!
 
Shibuda hawezi acha tapatapa, hatua inayofuata yuko radhi hata kuanza tukana viongozi wa Chadema matusi ya nguoni, hii ni sababu anajua hatokuwa mgombea ubunge kupitia Chadema, anachotaka afukuzwe arudi CCM agombee kupitia huko, CDM tumeshtukia mchezo, hatutompa jimbo tena, atafute shughuli nyingine ya kufanya tu!
 
Hilo lilishapita tugange yajayo,
kwa sasa tuko buzy na M4C achananeni na Shibuda.
 
Shibuda ni Janga kuu kwa taifa la Tanzania na Chadema pia!
 
ana jipya yle mzee wa kubwabwaja..anatishia watu wazima nyauuu.....hongera chadema kwa kumpotezea ili ajione *****
 
kama kosa huyu mzee kafanya, ameisaidia CDM kuwa makini na mamluki, yy alitegemea reaction iwe kubwa na alitegemea kufukuzwa sasa anapiga ramli ni lini atafukuzwa... kazi anayo.
 
huyu mweshimiwa alitoa siku tatu kuombwa radhi na mwenyekiti wa bavicha ndugu heche la sivyo angelipua bomu kuhusu chadema, sasa siku zinaenda na hajatekeleza alichosema mbele ya media maana heche hakumwomba radhi.

Je ulikuwa mkwara au anakusanya nyaraka zaidi ndo aje kulipua, mimi binafsi nasubiri sana maana namuheshimu sana. Kinyume cha hapo huyu babu atakuwa haaminiki tena:a s-confused1::angry::a s angry::frusty:

kwa lipi hasa !
 
mi namuona tu kuwa ni gamba lililotafuta hifadhi cdm baada ya kule maswa kuliona halina mashiko
linasubiri tu siku na saa lirudi zake magambani ila linasaka pa kutokea
 
jamaa alipewa hela ili kuivuruga cdm, wameona cdm hawana time nae na ndio kwanza wanaendelea kubeba washabiki
 
HUYU MWESHIMIWA ALITOA SIKU TATU KUOMBWA RADHI NA MWENYEKITI WA BAVICHA NDUGU HECHE LA SIVYO ANGELIPUA BOMU KUHUSU CHADEMA, SASA SIKU ZINAENDA NA HAJATEKELEZA ALICHOSEMA MBELE YA MEDIA MAANA HECHE HAKUMWOMBA RADHI.

JE ULIKUWA MKWARA AU ANAKUSANYA NYARAKA ZAIDI NDO AJE KULIPUA, MIMI BINAFSI NASUBIRI SANA MAANA NAMUHESHIMU SANA. KINYUME CHA HAPO HUYU BABU ATAKUWA HAAMINIKI TENA:A S-confused1::angry::A S angry::frusty:
Mbona alisharipua kupitia kwa waziri Wasira kupitia kipindi cha ITV jumatatu kwamba CHADEMA kimejaa makundi tele na CHADEMA hawana ubavu wa kumfukuza uanachama!
 
HUYU MWESHIMIWA ALITOA SIKU TATU KUOMBWA RADHI NA MWENYEKITI WA BAVICHA NDUGU HECHE LA SIVYO ANGELIPUA BOMU KUHUSU CHADEMA, SASA SIKU ZINAENDA NA HAJATEKELEZA ALICHOSEMA MBELE YA MEDIA MAANA HECHE HAKUMWOMBA RADHI.

JE ULIKUWA MKWARA AU ANAKUSANYA NYARAKA ZAIDI NDO AJE KULIPUA, MIMI BINAFSI NASUBIRI SANA MAANA NAMUHESHIMU SANA. KINYUME CHA HAPO HUYU BABU ATAKUWA HAAMINIKI TENA:A S-confused1::angry::A S angry::frusty:

kibaraka wa sisiem! ilikuwa kosa kumkubali huyu babu kuhamia cdm kwani he is a liability!!
 
Mkuu hata mm nashangaa huyu Shibuda anajifanya anamabiti ya kitoto sana, alifikiri Heche atababaika kijinga na matokeo yake Heche ndo akakandamiza msumari wa moto pale jangwani na mpaka leo Heche anaendelea tu na harakati bila woga.

Yule Gendaeka anatafuta umaarufu tu lakini hajui kuwa kashachelewa. Alikuwa ananyamazia uchafu enzi za ujana wake akiwa chama cha magamba alikuwa anafuga kitambi kwa posho haramu. Nadhani anajua muda wake umefika mwisho ndio maana anakazana kutafuta umaarufu kwa njia ya malumbano badala ya kutafuta ujiko kwa kuwa mchapakazi mzuri jimboni kwake au ktk chama kwa ujumla. Aibu sana kuwa mzee alafu mbwatukaji tu.
 
Back
Top Bottom