Search results

  1. HSE Officer

    Jinsi Bamia lilivyoniponyesha vidonda vya tumbo

    Habar wana Jf Leo nimekuja kutoa ushuhuda jinsi nilivyopona vidonda vya tumbo kwa kutumia bamia narudia mara 2 ni kiboko ya vidonda vya tumbo. Nimeteseka kwa muda sana nimetumia dose za gharama lakini sikufanikiwa kupona mpaka nikahisi narogwa nikaenda mpaka kienyeji sikupona nimekuja kuponea...
  2. HSE Officer

    Sumbawanga mpaka karatu Arusha nauli bei gani?

    Habari nahitaji kujua nauli ya kutoka Sumbawanga mpaka Karatu Arusha Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  3. HSE Officer

    Laptop yenye vigezo gani ni nzuri kwa mwanafunzi wa Engineering

    Habar , Kuna ndugu yangu anasoma Mechanical Engineering so ameniambia wanahitajika kuwa na laptop kulingana na course yao husika Hivyo basi nimekuja kwenu kuuliza Ni laptop aina ipi na yenye sifa zipi na ikiwezekana na bei yake kwa hapa Tanzania kwa Mwanafunzi wa Mechanical engineer...
  4. HSE Officer

    China banned coca-cola for human consumption and classified it as cleaning material

    In China, Coca-Cola will be sold as a sewage cleaner, and the Coca-Cola soft drink produced by the American Coca-Cola Company will be transferred according to the decision of the Chinese Central Committee for Food Quality into the category of sanitary liquids recommended for cleaning pipes...
  5. HSE Officer

    China banned coca-cola for human consumption and classified it as cleaning material

    In China, Coca-Cola will be sold as a sewage cleaner, and the Coca-Cola soft drink produced by the American Coca-Cola Company will be transferred according to the decision of the Chinese Central Committee for Food Quality into the category of sanitary liquids recommended for cleaning pipes...
  6. HSE Officer

    Hii ndio ndoto yangu kwenye maisha natamani siku moja niitimize

    Habar wana Jf Kwa kipindi kirefu huwa naiwaza sana hii ndoto yangu na jinsi gani nitaweza kuifikia Niende moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda. Mimi ni kijana wa kitanzania nina Bachelor degree ya Environmental Health Science na nimesajiriwa na baraza la maafisa Afya Tanzania Baada...
  7. HSE Officer

    Nilivyonusurika kutapeliwa mtandaoni

    Habar ndugu zangu wa Jf Awali ya yote napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa muanzilishi wa Jf kwani naburudika na naelimika kwa mada zinazotolewa humu. Nisipoteze muda niende kwenye mada iliyonileta kwani kama kichwa cha habar kinavyosomeka " Nilivyonusurika kutapeliwa mtandaoni" Ilikuwa...
  8. HSE Officer

    Tabia ya kufukua makaburi siyo nzuri

    Habar wana Jf, Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuwepo hai hadi muda huu ninaoandika hii thread Pia napenda kutoa shukran kwa Founder wa Jf kwani naburudika na naelimika kwa nyuzi mbalimbali zinazoandikwa . Humu JF kuna tabia ambayo sio nzuri maarufu kama kufukua makaburi , kwa nini nasema sio...
  9. HSE Officer

    Nisaidieni nipate kazi Watanzania wenzangu. Nina Bachelor Degree ya Environmental Health Sciences

    Habar ndugu zangu Mimi ni kijana wa kitanzania, nimekuja kwenu ndugu zangu ili nipate ajira iwe ya kudumu au mkataba . Nina Bachelor Degree ya Environmental Health Sciences Pia naweza kufanya kazi kama safety officer kwenye migodi, viwandani, na kwenye kila sekta ambayo imesajiliwa na OSHA...
  10. HSE Officer

    CCM naipenda kutoka moyoni

    HabarI wakuu, Nimetokea kukipenda Chama Cha Mapinduzi (CCM). Leo siku nzima nimekaa nasikiliza nyimbo ya John Komba kama vile CCM mbele kwa mbele, sasa kumekucha na pisha njia. Napenda nikiRi kwenu kwa akili zangu timamu naipenda CCM.
  11. HSE Officer

    Kwani wenzangu mnafanyaje mpaka mnakuwa na hela nyingi

    Habari JF, Ili swali najiuliza sana utakuta mtu ana mihela mingi mpaka basi. Jamani nauliza wenzetu mnapataje hela nyingi kiasi cha kutowaza kesho unakula nini.
  12. HSE Officer

    DeepPond naomba nisaidie nipate kazi kwenye biashara zako

    Habar bwana DeepPond nimekutumia ujumbe kwenye PM yako kwan nahitaji kazi ili nipate hela ya kula Kupitia biashara zako unaweza kunisaidia kwa kunipa kazi DeepPond DeepPond
  13. HSE Officer

    Sehemu gani Kariakoo naweza kupata freezer mpya kwa laki sita?

    Habari ndugu zangu Jumamosi tarehe 14.10.2023 nahitaji freezer kampuni ya hisense mpya lita 200 nina laki sita. Natanguliza shukran
  14. HSE Officer

    Natafuta mke wa kuoa

    Miaka yangu ni 37 Naishi mkoa wa Dar Kazi yangu kwa sasa AFISA WA BANK ( jina kapuni Miaka kuanzia 25 kuja juu chini ya 25 usije Dm Awe na mtoto kama huna mtoto usije coz mimi nina watoto Awe muwazi na mkweli Mwenye kuheshimu kila mtu Elimu yoyote Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi Dini...
Back
Top Bottom