Search results

  1. T

    Nimeumizwa sana na kifo cha wanajeshi wetu kule Sudan

    Hakika nimeumia sana sana kutokana na msiba huu mzito. Tangu nimepata taarifa hiyo nimeshindwa kurejea katika hali yangu ya kawaida kabisa. Hali kama hii ilishanitokea miaka michache iliyopita baada ya kufiwa na baba mzazi lakini haikunimiza kiasi hiki. Kila ninapokumbuka au nikisikia watu...
  2. T

    Mbunge na Madiwani kujiuzulu Ngorongoro

    Kwa yoyote mwenye updates atupie hapa, ni kuhusu kile kilichoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari kwamba mbuge na madiwani watajiuzu endepo serikali itatoa tamko la kutenga eneo ya ardhi ya vijiji na kufanya pori tengefu.
  3. T

    Tofauti ya FISI DUME na FISI JIKE kwenye maumbile ya mifumo wa uzazi

    Watu wengi wamekuwa wakiamini kuwa Fisi (Spotted Hyaena) ni Huntha (kiumbe chenye mifumo yote ya uzazi wa kike na kiume). Ukweli ni kwamba mnyama huyu siyo Huntha (hermaphrodite) bali maumbile yake ya mifumo ya uzazi zimefanana (Penis Vs Clitory/vagina, scrotal sac/testicles Vs Vaginal labia)...
  4. T

    Ng'ombe 20 wafa kwa kulishwa sumu na mwekezaji Monduli

    Ng'ombe 20 wamekufa baada ya kula majani iliyopigwa dawa na mwekezaji mmoja wilayani Monduli, pia watu zaidi ya 38 wamelazwa ktk hospital ya wilaya baada ya kula nyama ya ng'ombe hao, wanyamapori pia wameripotiwa kufa, pls wadau mtupe habari zaidi kwa mliopo maeneo hayo. Source ITV-taarifa ya...
  5. T

    M4c yapiga hodi wilaya ya ngorongoro

    Kwa mara nyingine tena baadhi ya madiwani ktk (H) ya wilaya ya ngoro*2 wamezidi kumiminika nyumbani kwa mhe. Long'oyu diwani kata ya Losoito/Maaloni kumshawishi asiachie ngazi baada ya mhe.huyo kutangaza kubwaga manyanga ccm na kuhamia cdm, mhe.Long'oyu amesema amechoshwa na madudu ya ccm...
Back
Top Bottom