Kwa mara nyingine tena baadhi ya madiwani ktk (H) ya wilaya ya ngoro*2 wamezidi kumiminika nyumbani kwa mhe. Long'oyu diwani kata ya Losoito/Maaloni kumshawishi asiachie ngazi baada ya mhe.huyo kutangaza kubwaga manyanga ccm na kuhamia cdm, mhe.Long'oyu amesema amechoshwa na madudu ya ccm, ikiwemo umaskini uliokidhiri kwa wananchi wa wilaya hiyo,ukosefu wa huduma za jamii, miundombinu,migogoro baina ya wananchi na wawekezaji na matatizo lakuki yanayosababishwa na serikali ya magamba pamoja na wilaya hiyo kuwa ya pili kuingizia nchi mapato baada ya Ilala na rasilimali nyingi zinazopatikana ktk wilaya hiyo. Ee mungu baba magamba hawa washindwe ktk jina lako na watupilie mbali. Karibu mhe.ktk harakati za kulikomboa taifa hili. Source:mimi mwenyewe nipo maeneo hayo, nitawajuza kitakacho endelea.