Search results

  1. K

    Basi la Ndenjela Coach laungua moto leo (DAR-MBEYA)

    Basi la ndenjela likiwa linatoka dar kuelekea mbeya limeteketea kwa moto kibaha kongowe asubuhi ya leo. Abiria wote wamenusurika janga hilo. Habari kutoka kwa msafiri ndani ya basi la ndenjela.
  2. K

    Ajira mpya za walimu

    Naombeni msaada wana jf kuangaliziwa ajira mpya za walimu jina Godfrey mbelle ngazi ya cheti ualimu wa msingi kapangwa wapi. Kimeo changu hakifungui pdf file. Nitashukuru saana wadau.
  3. K

    Dc kibaha amuweka mwalimu rumande ni mambo ya sensa

    DC wa kibaha Halima kihemba jana mchana ktka kutembelea maeneo yao ya sensa huko wilayani kibaha vijiji mlandazi, mwalimu huyo kama karani mwandamizi alichelewa kufika eneo la kuhesabia kama ilivyopangwa na hakuwa na mawasiliano hivyo kufanya waratibu wa sensa kupata taarifa na wakati huo DC...
  4. K

    Stendi mpya ya mabasi mlandizi

    Habarini wandugu, kuna stendi imefunguliwa mwanzoni mwa mwezi huu mlandizi kibaha. Nilichoshuhudia ni kila basi la mkoani lazima liingie na kulipa ushuru. Je hii mbona haifanani kama stand ni kama barabara ya vumbi iliyochongwa. Nani aliidhinisha stendi kama hii kufunguliwa wakati hakuna hata...
  5. K

    Mtendaji wa Ikulu na ujenzi wa majumba huko Morogoro

    Ni mtendaji wa ikulu kwa jina Mbena Malumbi anafanya kufuru huko Morogoro maeneo ya Bigwa katika barabara ya zamani ya Dar-Moro kutokea mjini Moro. Yasemwayo na wananchi wa huko ni kuwa watu wananunuliwa kwa hela yoyote ile unataja wewe wakitaka eneo lako na kukuhamisha hata kama una makazi...
  6. K

    Ajali mbaya kwa mbonde kibaha

    Ajali imetokea maeneo ya kwa mbonde baina ya coasta mbili za abiria jioni hii. Takribani watu zaidi 10 wamekufa palepale maiti na damu nyingh sana. Nimeshuhudia.
Back
Top Bottom