Stendi mpya ya mabasi mlandizi

Kiumbo

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
560
122
Habarini wandugu,
kuna stendi imefunguliwa mwanzoni mwa mwezi huu mlandizi kibaha. Nilichoshuhudia ni kila basi la mkoani lazima liingie na kulipa ushuru. Je hii mbona haifanani kama stand ni kama barabara ya vumbi iliyochongwa.
Nani aliidhinisha stendi kama hii kufunguliwa wakati hakuna hata sehemu ya kukaa abiria.
Nini madhumuni ya stand hii mlandizi wakati kuna nyingine maili moja kila basi lazima liingie lilipe ushuru.
Naomba wanajamii tusaidiane kuliona hili na kulitolewa mawazo je kuna tija? Na km kuna tija mbona stand ya mlandizi haina kiwango ni vumbi tupu. Nimejionea mimi mwenyewe kama msafiri. Mungu ibariki tz.
 
Zomba umenena vyema. Ushuru ubungo,maili moja, mlandizi. Hiki ni kitengo cha watu kupiga hela. Madereva hata abiria wanalalamika.Wadanganyika sie.
 
Ndo maana yule waziri anayeitwa Pombe amenena bungeni kuwa road reserve zinatumiwa na watu wengine kujipatia mapato.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom