Dc kibaha amuweka mwalimu rumande ni mambo ya sensa

Kiumbo

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
560
122
DC wa kibaha Halima kihemba jana mchana ktka kutembelea maeneo yao ya sensa huko wilayani kibaha vijiji mlandazi, mwalimu huyo kama karani mwandamizi alichelewa kufika eneo la kuhesabia kama ilivyopangwa na hakuwa na mawasiliano hivyo kufanya waratibu wa sensa kupata taarifa na wakati huo DC alikuwepo kwenye kituo cha sensa na kutoa amri mwalimu atafutwe haraka. Mida ya saa nne asubui jana mwalimu aliwasili kwenye kituo hicho na ndipo DC huyo alipo mpakiza kwenye gari lake mpaka kituo cha polisi mlandizi. Mpaka sasa hatujui hatima ya mwalimu huyo. Mbona DC alichukua hatua hiyo je ni halali? Kugagua maeneo ya kuhesabia ni siku tatu kwa makarani wa sensa wote. Iweje DC huyo achukue sheria kisa alikuwa amekimbia kazi ya serikali. Huruma sana.
 
Back
Top Bottom