Search results

  1. B

    Nini maana, umuhimu na kazi za hotuba za kambi rasmi ya upinzani?

    Wana JF, ninaomba kuelimishwa kuhusu uwepo wa baraza KIVULI ktk bunge la Tanzania. Kila waziri husika ktk wizara fulani, hufuata hotuba/bajeti ya waziri kivuli na mipango yako. Hawa watu wana kazi gani? Nini maana, umuhimu na kazi ya bajeti ya kambi ya upinzani? Je, hutekelezwaje? Msaada tafadhali
  2. B

    Nini maana ya bajeti ya kambi ya upinzani?

    Wana JF, naomba kuelimishwa umuhimu, kazi na maana ya hotuba za kambi rasmi ya upinzani. Kila baada ya waziri husika kusoma hotuba/bajeti ya wizara yake, waziri KIVULI naye husoma hotuba yake. Hawa watu wana kazi gani? Bajeti zao zina maana gani? Je hutekelezwaje? Naomba kuelimishwa hapo.
  3. B

    Leo ktk bajeti

    Tunang'ojea kuona kama bajeti kuu ya serikali itajibu mahitaji muhimu ya wananchi!
  4. B

    Mhuu.. hii kali! Haki ya tendo la ndoa

    Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje?
  5. B

    Pipooooooooooooos............. .....power!

    Ya Arumeru na Kirumba yanatia moyo. Tunasonga mbele!
  6. B

    Kiswahili na mambo ya fedha shida kweli!

    Tafadhali, nisaidieni kiswahili cha 1. net pay 2. gross pay.
  7. B

    Mbeya walimu mpooo?

    Wangapi mko kwenye orodha ya madogo wa kuondoa uai kwa moto wetu uleee?
  8. B

    Matukio kidato cha nne!

    Serikali inavuna ilichopanda, maziro matupu! kwenda ngazi za juu inachuma ambacho haikupanda! Wizi mtupu.!
  9. B

    Matokeo kid. Cha pili

    Baada ya kutoa matokeo sasa ndo nimeelewa kigugumizi cha serikali kuyatoa huku watoto wake zaidi ya nusu hawakufikisha 30!! Sijui kutatokea miujiza gani ili 2012 washindwe wachache wastani uzingatiwe!
Back
Top Bottom