B BUCHANA Member Feb 4, 2012 30 4 Apr 30, 2012 #1 Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje?
Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje?
happiness win JF-Expert Member Aug 30, 2011 2,461 1,384 Apr 30, 2012 #3 Hii haijakaa sawa. ipange upya
arabianfalcon JF-Expert Member Oct 19, 2010 2,285 584 Apr 30, 2012 #4 Hii kali sana ebu ichujue kidogo..
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Apr 30, 2012 #5 sijafahamu wala sijaelewa. I think I am confused and not convinced!
M Mkekuu JF-Expert Member Apr 7, 2012 1,237 170 Apr 30, 2012 #6 Hii ilikuwa sheria ya misri enzi ya Queen Chreopatra.
Kaunga JF-Expert Member Nov 28, 2010 12,530 13,469 Apr 30, 2012 #7 Mkekuu said: Hii ilikuwa sheria ya misri enzi ya Queen Chreopatra. Click to expand... Sasa si ungesema tangia mwanzo?
Mkekuu said: Hii ilikuwa sheria ya misri enzi ya Queen Chreopatra. Click to expand... Sasa si ungesema tangia mwanzo?
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,958 93,939 Apr 30, 2012 #9 BUCHANA said: Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje? Click to expand... Ni kama vile ulikua unasikiliza mahali, halafu ukaibeba kama ilivyo ukidhani tulikua tunasikiliza wote
BUCHANA said: Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje? Click to expand... Ni kama vile ulikua unasikiliza mahali, halafu ukaibeba kama ilivyo ukidhani tulikua tunasikiliza wote
BADILI TABIA JF-Expert Member Jun 13, 2011 32,772 23,163 Apr 30, 2012 #11 ushirikina tu, utabakaje maiti?
ckabaka New Member Apr 9, 2012 3 1 Apr 30, 2012 #12 Hao jamaa wamekosa ya kufanya ni kitu hakiwezekani kimfumo wa binadamu na unapo kufa mwili hukakamaa.
Hao jamaa wamekosa ya kufanya ni kitu hakiwezekani kimfumo wa binadamu na unapo kufa mwili hukakamaa.
Vaislay JF-Expert Member Jun 26, 2011 4,532 1,822 Apr 30, 2012 #13 eeeh hili geni kwangu..........tchaooo