Search results

  1. D

    Lissu ndiye Mtetezi Namba Moja wa Haki na Umoja

    Put it differently "Lisu ndo mleta fujo wa nchi yetu".
  2. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Mbona kazi zimejaa ndugu yangu. Au we ni mvivu. Pambana aise wakenya wanakuja kwa kasi kuchukua nafasi hizi mana watanzania ni wavivu by nature
  3. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Hapana
  4. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Ni samia aliyezungumza hayo? Deal na aliyezungumza ikiwezekana mrushie ngumi
  5. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Ameshajibiw lakini hataki kuelewa. Sasa mtu kama hataki kuelewa kwani tumbrmbeleze kwa faida ya jamii nzima?
  6. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    We shall stop them come what may
  7. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Mi najua anayemlinda ni samia mwenyewe
  8. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Mbona kinana ameshamjibu? Kwa nini jpm hakummalizia kabisa ili tuondokane na hili balaa. Jpm alifanya kosa kubwa sana kumkosa kosa
  9. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Earth quake wakati hakuna Ritcher?
  10. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Ccm ni mimi ni wewe ni yule
  11. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Jibu limetoka kw kinana juzi. Kama hutaki kumuelewa unataka malaika ndo ashuke kukuelewesha? Au umeamua kuwa mbishi au akili ndogo
  12. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Anasema samia ni mwongo
  13. D

    Nchi inakaribia kupasuka

    Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais. Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi. Orelse we gona...
  14. D

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Jpm alikuwa shetani jua hilo
  15. D

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Ndo maendeleo hayo dogo. Maendeleo ni uwekezaji unaokuza speed ya mzunguko wa pesa
  16. D

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Kimeo alikuwa jpm. Acha kimsingizia mwokozi wetu. Mi amenipa kazi zilizositishwa for 5 years bila maelezo bali roho mbaya tu
  17. D

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Atakufa vipi wakati wajukuu wake sasa wana ajira. Mama kamwaga ajira kila kona sasa hivi zimejaa
  18. D

    Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Jpm alikuwa nakubali wauaji kama yeye tu
Back
Top Bottom