Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 48,982
- 43,115
Hawawezi fanya kitu game ijayo?
Punguza mahaba mzeeHana akili yoyote ile si ndio alipinga bandari ya Bagamoyo alafu JPM alipofariki akasema "walipitiwa".
Ni huyu Ndugai ndio alipinga ripoti ya CAG kusomwa bungeni eti kisa kawaita wana uwezo mdogo!! yaani alikasirika kisa CAG ameonesha kuna ufisadi na bunge halikuchukua hatua.
Kimeo alikuwa jpm. Acha kimsingizia mwokozi wetu. Mi amenipa kazi zilizositishwa for 5 years bila maelezo bali roho mbaya tuKuna watu hawajalipwa pesa za mwezi wa 4 mpaka leo tarehe 6.
Mabeyo hii kimeo ulituletea,Mungu ndio anajua.
Makosa hayo ya kina Ndugai hayahalalishi udhaifu wa mamako huyuHana akili yoyote ile si ndio alipinga bandari ya Bagamoyo alafu JPM alipofariki akasema "walipitiwa".
Ni huyu Ndugai ndio alipinga ripoti ya CAG kusomwa bungeni eti kisa kawaita wana uwezo mdogo!! yaani alikasirika kisa CAG ameonesha kuna ufisadi na bunge halikuchukua hatua.
Kazi yako hiyo itakufanya uwe masikini daimaKimeo alikuwa jpm. Acha kimsingizia mwokozi wetu. Mi amenipa kazi zilizositishwa for 5 years bila maelezo bali roho mbaya tu
Mamayo huyu ni kimeo bhna!Mbona alimteua tena 2020? Kama JPM mnamuita genius na ndio kamleta Samia mnayesema ni dhaifu basi JPM hana huo ugenius mnaompamba humu.
Waliomfanya aliopo awepa wao waliangalia katiba ambayo imewahi itwa kijitabu, tusilam au kuwalaum nao walitenda haki kwa njia moja au nyingine ,ni ajali imelipata taifa ila kama isingekua hivi wenda pia nchi ingekuwa kwenye mkwamo wa kikatiba na wenda madhara yangekua makubwa , limeisha tokea swala hapa wenye nchi nikuunganisha nguvu moja basi.Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawm a wanastahili tuzo.
Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.
Itakuwa hujaota meno, bimkubwa anakutafunia weee kazi yako kumeza tu, leo mazeri kagoma kukutafunia!! Ukiwaza kidogo tu unapata maana ya anachokisemaHebu weka themes vizuri tukuelewe unamaanisha nini!!!
Kwa niniKazi yako hiyo itakufanya uwe masikini daima
Chawa wote mtapewa zawadi ya waume kila mmja kwa kazi nzuri ya kusifuKimeo alikuwa jpm. Acha kimsingizia mwokozi wetu. Mi amenipa kazi zilizositishwa for 5 years bila maelezo bali roho mbaya tu
Ndo maendeleo hayo dogo. Maendeleo ni uwekezaji unaokuza speed ya mzunguko wa pesaPale kimara palipovunjwa nyumba kwa ajili ya barabara leo hii pameuzwa kiholela panajengwa shell kibao
Hivi unadhani tulihitwji udikteta wa jiwe?Yahani Watanzania hata hawajui wanataka Nini....?
Yahani ukisoma hizi comments humu ndani yahani unasikitika tu...sijui tumekuaje jamani.
Anyway Mungu atusaidie.
Chawa kikongwe Lucas Mwasambwanda na kipara kipya bila akili ni Sawa tako...utasikia huyu mhaini anywongweKwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana.
Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo.
Mambo hivi sasa hayaendi kabisa. Nchi ni kama imesimama.
Unaquote hoja ya ndugai unajibu kuhusu Safari? Una akili kweli? Soma nilichoandika hapo je kinaendana na ujinga unaoreply?Unaona ni sawa rais kusafiri kimya kimya Tena siku ya muhimu kama ile?!
Ndio nasema Ndugai naye ni mnafiki tu usimtumie kama reference maana baada ya JPM kufariki alimgeuka na kuanza kumkejeli kuhusu bandari na demokrasia!!Makosa hayo ya kina Ndugai hayahalalishi udhaifu wa mamako huyu
Mimi sipo katika hayo makundi ila sijawahi mkubali hata siku moja!!Uhuru ni ule ulioletwa 1961 ndo mana unajisikia hivyo. JPM alikuwa analetea heshima hii nchi dhidi ya walafi, wauza unga, wala rushwa, wazembe, wenye vyeti feki, mishahara hewa, wakwepa kodi. Ukiona unamchukia basi ujue wewe ni mmoja katika hayo makundi