Nchi inakaribia kupasuka

Jisemee Wewe na nafsi yako, Wewe ni jinga nini.... Eti sisi Watanzania tunaofanya kazi na wasio na kazi?
Mbona kazi zimejaa ndugu yangu. Au we ni mvivu. Pambana aise wakenya wanakuja kwa kasi kuchukua nafasi hizi mana watanzania ni wavivu by nature
 
Ni samia aliyezungumza hayo? Deal na aliyezungumza ikiwezekana mrushie ngumi
Hasemi kwa sababu kasema fulani ambapo akisema yeye si jinai. Anasema kwa sababu inapaswa kusemwa sasa kwanini wakisema wao si jinai ila akisema mbara iwe jinai
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua

Jpm aliweza kuidhibiti mikutano mpaka akina mbowe na lema wakaw wakimbizi. Sasa we cheka nao tu unaona

Chadema hawanaga shukrani kwa lolote.

Jpm alizuia mikutano yote ndo mana anaheshimiwa mbinguni na duniani mana hakukuwa na yeyeto mwenye ubavu wa kimkosoa.

Hata lisu anamyambua mana alikoswa koswa
Lissu ni shujaa na muwazi wa kiwango ambacho hapa Tz ni futuristic. Jpm aliharibu nchi hii na kule ghamboshi alipo sasa ndio anastahili.
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua

Jpm aliweza kuidhibiti mikutano mpaka akina mbowe na lema wakaw wakimbizi. Sasa we cheka nao tu unaona

Chadema hawanaga shukrani kwa lolote.

Jpm alizuia mikutano yote ndo mana anaheshimiwa mbinguni na duniani mana hakukuwa na yeyeto mwenye ubavu wa kimkosoa.

Hata lisu anamyambua mana alikoswa koswa
you are stupid! jinga kabisa. Wazazi wako wana hasara, miezi tisa unazaa kitu kama wewe.
 
Ninaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.

Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.

Orelse we gona vuna mabua

Jpm aliweza kuidhibiti mikutano mpaka akina mbowe na lema wakaw wakimbizi. Sasa we cheka nao tu unaona

Chadema hawanaga shukrani kwa lolote.

Jpm alizuia mikutano yote ndo mana anaheshimiwa mbinguni na duniani mana hakukuwa na yeyeto mwenye ubavu wa kimkosoa.

Hata lisu anamyambua mana alikoswa koswa
Ziro thinker
 
Jaribu kutofautisha nyakati bwana mdogo, JPM alizuia mikutano lakini madhara yake yameonekana siyo ya kusimuliwa, wacha watu wazungumze msiwazibe midomo, pale penye ukweli pafanyiwe kazi. Period
 
Lisu wamwambie ukweli hatumpendi kwa kauli zake za chuki mi siwezi kupoteza kura yangu kumpigia Lisu kwanini hajifunzi kwa MWENYEKITI wake mbona ana hoja za kistaarabu tu.
 
Kama kuandika tu vizuri huwezi, kweli utaweza kumuelewa Lissu?

Kwakweli ngozi nyeusi ni ngozi nyeusi tu.
 
Lisu wamwambie ukweli hatumpendi kwa kauli zake za chuki mi siwezi kupoteza kura yangu kumpigia Lisu kwanini hajifunzi kwa MWENYEKITI wake mbona ana hoja za kistaarabu tu.
Lissu atapewa kula na wenye akili timamu
 
Back
Top Bottom