Watanzania wameamka sasa siyo kufanywa wajinga na watu wachache wa CCMNchi ikipasuka unahisi itakuwa sababu ya Lissu au wananchi?
Ikiwa anachoongea Lissu ni cha uongo kwann unaogopa?
Nchi ikipasuka ni sababu wananchi wameujua ukweli baada ya kuambiwa na Lissu
Humuwezi Lissu hata ukusanye Majini yote unayoyamiliki wewe na jamaa zakoJIWE ALIPOMTANDIKA RISASI MLIMUITA GAIDI,MTAVUNA MLICHOKIPANDA
KAMFUFUE NYERERE UMUULIZE NA KIMBELE MBELE CHAKE,NANI ALIMTUMA KUSHOBOKEA WAZANZIBAR NA KUTAKA KUUNGANA NAO??Kwanini mnalazimisha muungano? kwani nyie hamtaki kuongozwa na mtu wa kwenu?
Umetia Aibu kubwa mnoNinaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.
Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.
Orelse we gona vuna mabua
Zanzibar tumesanda mnajifanya hamtaki muungano huku nyie mnafaidi, ondokeniKAMFUFUE NYERERE UMUULIZE NA KIMBELE MBELE CHAKE,NANI ALIMTUMA KUSHOBOKEA WAZINZAR NA KUTAKA KUUNGANA NAO??
MCHUKUE NABII WA UFUFUO NA UZIMA MKAMFUFUE KISHA MPELEKENI KWA MWAMPOSA AKAKANYAGE MAFUTA YA UPAKO KISHA MUULIZE..!!
ni kichaka cha walafi wanao waza matumbo yao tu na kushindana kujenga mahekalu ndiyo mana mda wote wanawaza kusifia tu ili kulinda nafasi zao na kupata teuzi!CCM hakuna mwenye akili
Watanzania wameamka sasa, tumechoka kuongozwa na koo 5 miaka yoteni kichaka cha walafi wanao waza matumbo yao tu na kushindana kujenga mahekalu ndiyo mana mda wote wanawaza kusifia tu ili kulinda nafasi zao na kupata teuzi!
NIMUWEZE LISU MIMI WA NINI??AU LABDA KAMA WEWE UNGEPENA AWE MUMEO MAY BE,LISU ZILE RISASI ALIZOPIGWA NA MWENDAZAKE ZIMEMVURUGA,WE UNADHANI YUKO SAWA YULE??Humuwezi Lissu hata ukusanye Majini yote unayoyamiliki wewe na jamaa zako
JIBU HOJA!USIKIMBILIE KUDHIBITIWA!WANANCHI HAWAWEZI KUJZWA CHUKI KIJINGJINGA!NAO WANA AKILI YA KUPAMBANUA MAMBO!JIBU HOJA ILI WANANCHI TUPIME YUPI YUKO SAHIHI!JIBUNI HOJA!WHY MNAKIMBILIA MABAVU!PUMBAVUNinaishauri serikali imdhibiti sana Lisu kwa kauli zake anazotoa. Surely ule ni uhaini na anajaribu kusambaza chuki ya wazi wazi wanachi wamachukui Samia kama yeye na siyo rais.
Chukueni hatua mapema kuzuia mikutano mana haina afya kwa ustawi wa sisi tunaopenda kufanya kazi.
Orelse we gona vuna mabua
Jibu limetoka kw kinana juzi. Kama hutaki kumuelewa unataka malaika ndo ashuke kukuelewesha? Au umeamua kuwa mbishi au akili ndogoJIBU HOJA!USIKIMBILIE KUDHIBITIWA!WANANCHI HAWAWEZI KUJZWA CHUKI KIJINGJINGA!NAO WANA AKILI YA KUPAMBANUA MAMBO!JIBU HOJA ILI WANANCHI TUPIME YUPI YUKO SAHIHI!JIBUNI HOJA!WHY MNAKIMBILIA MABAVU!PUMBAVU
😂😂😂Huku kwa siasa kunahitaji vichwa very smart sio wenzangu na mimi...
Niliposoma title nikajua nishu ya earth quake labda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
MWENYE SHOBO NA MUUNGANO NI NYINYI WATANGANYIKA NA SIYO WAZANZIBAR,HATA CHANZO CHA SHOBO NI KAFIRI MWENZENU NYERERE,SASA MNAWAPA LAWAMA WAZENJI KWA LIPI??PAMBANANE NA HALI YENU,KAMA MNATAKA KUUVUNJA VUNJENI TUH,KELELE ZA NINI SASA.Zanzibar tumesanda mnajifanya hamtaki muungano huku nyie mnafaidi, ondokeni
Ccm ni mimi ni wewe ni yuleWatanzania wameamka sasa siyo kufanywa wajinga na watu wachache wa CCM
Sio poa nilivamia tuu...