Search results

  1. kimpe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ukiachana na mpesa ni njia gani mnatumia kuweka na kutoa pesa 1xbet msaada plz
  2. kimpe

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hawaangalii siku za kuabudu umeme unahitajika sana
  3. kimpe

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hawawezi jibu sababu hawana hayo majibu
  4. kimpe

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Yaani nimekuwa maeneo kadhaa ya nchi kwa wiki hii toka Arusha Tanga Mpaka Mbeya umeme ni shida baadhi ya maeneo wanakata asubuhi mpaka saa tano usiku, na hio ni ratiba ya kila siku hawana Jumapili, Jumamosi, wala Ijumaa na kibaya kuliko vyote ni waongo kama kuna mgao waseme ili wagawe kwa ratiba...
  5. kimpe

    Spika Dkt. Tulia ingilia Kati Mgogoro huu wa ardhi jimboni kwako

    Kama eneo ni lao Kwa Nini wanataka kulipa fidia
  6. kimpe

    Hii jeuri Mkurugenzi wa Kilimo Uyole anaipata wapi?

    Ni kweli kabisa katikati ya jiji Alizeti zinafanya nini unganisha Uyole na Sae kwa majumba makali waende Inyala huko mapori kibao
  7. kimpe

    Hii jeuri Mkurugenzi wa Kilimo Uyole anaipata wapi?

    watendaji wa kipindi hiki wengi ni miungu watu
  8. kimpe

    Hii jeuri Mkurugenzi wa Kilimo Uyole anaipata wapi?

    Jana niliona kwenye mitandao ya kijamii wananchi wakilalamika kuchukuliwa eneo lao na Taasisi ya Kilimo Uyole. nilipofuatilia hili suala ni kwamba lilishafanyiwa maamuzi miaka mitatu iliyopita na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Mh Lukuvi kwa kuwarudishia wananchi hekari zao 67 ambazo kilimo...
  9. kimpe

    Taarifa za chini zinadai kwamba matajiri wa Moshi na Arusha wapo tayari Sabaya asalie gerezani

    Atatoka lakini akiwa amechoka sana mpaka Dar pia ana kesi za kujibu
  10. kimpe

    PS4, TV na MEZA

    Milion kumi si bora ninunue IST nina Milioni 9.5
  11. kimpe

    INAUZWA Nauza Printer Epson L805 used

    Ina shida yoyote hio printer??
  12. kimpe

    Mwelekeo wa Serikali ya awamu wa 6 chini ya Mama Samia Suluhu Hassan

    Hio sio typo ulikosa uelewa shukuru kuelewesha usiseme typo. Wakati wenzako wanasoma Civics wewe ulikuwa unawaza shule itafunga lini
  13. kimpe

    Samsung A series ni Failure kwa Samsung!

    A series tunanunua kwa ajili ya kukaa mbali na tecno, hatuna hela ya s series, Samsung(kukukuku tu jogoo jina), pia ni kwamba hiyo simu yako umepigwa kusema ukweli sifa unazotutajia Aseries zetu hazina zipo poa tu
  14. kimpe

    Kipanya hapa anamaanisha nini?

    We humuoni kagoma kwenda huyo huelewi nino hapo
  15. kimpe

    Uendeshaji huu gari ni sahihi?

    Hand break hio ni mbovu
  16. kimpe

    Hivi ushawahi kumuona mzungu chizi?

    Hapana ila nshawahi ona mzungu kichaa
Back
Top Bottom