PS4, TV na MEZA

Kitox

Member
Aug 28, 2019
29
17
Nauza PS4 CONSOLES mbili, makochi mawili na TV aina ya ONLING inch 32

Habari wakuu...kutokana na mambo kuwa mengi, na hivyo nimeshindwa kusimamia biashara ya PLAY STATION, nauza vitu hivyo kama vilivyotajwa.

MUHIMU:-Vitu vyote havina muda sana, kwani vilinunuliwa/kutengenezwa mwaka jana mwezi wa saba.

Bei ni nafuu, kwa mwenye uhitaji na aliye serious naomba tuwasiliane PM.
IMG-20220213-WA0005.jpeg
IMG-20220213-WA0007.jpeg
IMG-20220213-WA0003.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom