Search results

  1. S

    Picha: Waingereza waliomwagiwa tindikali Zanzibar

    Serikali yetu ya ajabu sana, tumekuwa na usemi wa INTELIGENCY hasa pale chadema inapopanga kufanya mikutano na kutumia neno hilo kuwa wamepata taafifa za kiintelijensia kuwa panaweza kutokea maafa, inamaana katika hili intelijensia huwa inalala? na mbona hamna bidii zozote zinazofanywa kwa...
  2. S

    Picha: MTANGAZAJI JOYCE KIRIA AOMBA AFAHAMISHWE ALIPO MUMEWE HENRY KILEO..

    huyu mpumbavu chemba anatumia huyu jamaa ku thimpasize ila wajue hawatafanikiwa kwa kutumia huyu jama waliemgeiza kikalagosi chao
  3. S

    Hizi signal zinaweza kutusaidia waliohusika na bomu la Arusha juzi

    Mkuu kwanza heshima kwako na nakili nimeelimika sana kupitia post yako, umeeleza kitaalam na inaonyesha unajua haya maswala ya kichunguzi,binafsi nimesisimka na kumbaini nani mhusika wa tukio la arusha. Deeemn !!! Hawa watawala wanataka kutawalq maisha? Ila nadhqni hof ni ikiwa wataacha...
  4. S

    Dr Mary Nagu: Bunge Sasa Lina Amani

    Hivi huyu ni doctor wa nn phd au kwa vile ni tapeli kanisani kwake au ni udoctor wa kupewa kama mkuu wa kaya?
  5. S

    NSSF ni siasa, wizi au kiwango duni cha uelewa kwa watendaji

    Inasikitisha sana kuona usumbufu huu kwani mi pia imenichukua miezi saba mpaka nane kupata card mpya yani smartcard, mpaka nilivogomba sana ndio kaka mmoja akaamua kuprint, otherwise kila ukienda kabla hata hajakusikiliza vizuri anakupiga tarehe mwei au miezi miwili, hapa ubungo kuna dada...
  6. S

    PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

    Duuu aisee nimecheka mpaka mbavu zimeniuma yani kwa akili yao wanadhani chadema imehit kwajili ya combat sasa wanajaribu kuigaiga sale inayoendana na gwanda matokeo yake wanaharibu kama ivo, duu yani jamaa ametisha ndo kwanza anaonekana kama galasa tu, na watambue kwamba gwanda si vazi lao na...
  7. S

    Video : Kikwete akiongea na Umati wa Wanamtwara kwa furaha

    Duuu nimeifungua kwa kimuhemuhe nikidhani ya leo bwana!!! but i got the point
  8. S

    Jamani wafanyakazi wa NSSF Ubungo wanaudhi

    Wadau, tangu NSSF imeagiza kubadilisha card za zamani kubadilishwa na kuwa smartcard, nimekuwa nafatilia smart card tangu mwezi wa october 2012, nikienda naambiwa nenda kwa mwajiri wako, nikienda kuuliza kwa mwajiri naambiwa haikuletwa. niliamua kuvalia njuga ufatiliaji hasa baada ya kuacha...
  9. S

    Mwigulu Nchemba bungeni: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Huyu jamaa amepanic ndomana anatapatapa, yeye alikuwa wa kwanza kupata hiyo CD sasa anapata shida gani kutoa ushaid bila kupanic? let him cool down ukweli utajulikana at the end, hof ni jinsi makinda anavo handle mjadala yani jamaa ameruhusiwa kuporomosha yote yaliyo moyoni mwake, akisimama wa...
  10. S

    Kinana live chanel ten muda huu

    Hata ivo inaonekana kabisa kuwa kuna mpango wa kumuinua kinana mpaka kuwa mgombea wa uraisi, hicho ndo nakiona. na lengo ni ku kupunguzw moto wa mh. lowasa. anaebisaha aseme hapw
  11. S

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Kwanini CCM imekuwa ikitumia Jeshi la polisi kama 'bullet proof jacket' Panapotokea mauaji yanayoigusa moja kwa moja CCM (mtawala) na kufanya dhana nzima ya amani kuonekana imehodhiwa na CCM kama chama tawala? Na nashangaa kuona CCM imekuwa ikiimba sana kuwa mtunza amani wakati ndio wamekuwa...
  12. S

    Picha mbalimbali Operesheni M4C Morogoro

    peeeeepleeeeeeeeeeees!!!!!!!!!!, VIVA M4C , VIVA CHADEMA
  13. S

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    duuuuu jamani kweli mungu si athman, the fate of stupid leadership is almost at the end sasa walio mkosakosa nadhani watakuwa wamesha fungasha vilago mahali pao pa kazi ama wamehamishwa vituo vya kazi. Binafsi Namshukuru M.Mungu kwa kuwaonyesha hawa mafeduri kuwa kama mtu siku zake hazijafika...
  14. S

    Gazeti hili lina dhana hasi kwa chadema?

    Wadau habari zenu,pengine kwa kutofahamu nimekuwa na hisia fulani juu ya gazeti liitwalo mitaa yetu, leo imekuwa mara ya pili kuna mtu amekuwa akigawa gazeti hilo maofisini,siku ya kwanza nilishindwa kumhoji japo kidogo, leo tena kaingia kwa haraka na kutoka huku akiacha gazeti hilo na mara...
  15. S

    Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

    Hilo limtu nilijua tu litapiga kura coz liko CDM ki ubunge tu ila ki utendaji bado ni gamba gumu
  16. S

    warning to CHADEMA

    Jamani kama mwanachama wa chadema na mwenye mapenzi mema na chadema,nimemsikiliza shibuda akihojiwa na radio one katika kipindi cha nipashe asubuhi na nimeamini kweli ana kusudia kugombea urais,pamona na lengo lake nimemsikia akiwa na mtazamo wa kukikandia chama et ni cha kidictator na ukabila...
  17. S

    LIVE ON Star TV: Kwanini Uwajibikaji kwa Viongozi si suala hiyari?

    Watanzania tuamke tuunge mkono hoja ya uwajibikaji kwa vitendo hasa kwa kumwajibisha rais mwenyewe.
  18. S

    kweli watz wengi wamesha choshwa na huyu JK

    Wakuu, leo mida ya saa tisa nilikuwa mitaa ya kisutu,wakati na nunua vocha mara jamaa akajitokeza na kusema “aaa masikini!!! amefarik??, muuza vocha akadakia akishangilia akiuliza, jk? jamaa akasema sioo!!da muuza vocha alikasirika alitaman afe tuchague mwingine et amechoshwa na mambo yake...
  19. S

    Jamani hii ndiyo hali hilsi!!!!!!!

    Chadema mostly wanaamini ktk tranparence, come oooon jus say whi iz it
  20. S

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    We have been praying for CDM success in Arumeru & God liestened to the voice of the poor people. For any who knows the CDM account please forward it to me so that i can contribute a little i have for my part. PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEESSSSS
Back
Top Bottom