kweli watz wengi wamesha choshwa na huyu JK

SILENT GUNNER

Member
Jan 23, 2012
22
9
Wakuu, leo mida ya saa tisa nilikuwa mitaa ya kisutu,wakati na nunua vocha mara jamaa akajitokeza na kusema “aaa masikini!!! amefarik??, muuza vocha akadakia akishangilia akiuliza, jk? jamaa akasema sioo!!da muuza vocha alikasirika alitaman afe tuchague mwingine et amechoshwa na mambo yake yooote. ndipo hapo nikapima ni kwa kiasi gani sasa mkuu wa kaya hapendwi kabisa kiasi cha kuombewa kifo na mtu wa chini kabisa.
hayo nimesikia dialog ya watu sina source nyingine.
 
Wakuu, leo mida ya saa tisa nilikuwa mitaa ya kisutu,wakati na nunua vocha mara jamaa akajitokeza na kusema "aaa masikini!!! amefarik??, muuza vocha akadakia akishangilia akiuliza, jk? jamaa akasema sioo!!da muuza vocha alikasirika alitaman afe tuchague mwingine et amechoshwa na mambo yake yooote. ndipo hapo nikapima ni kwa kiasi gani sasa mkuu wa kaya hapendwi kabisa kiasi cha kuombewa kifo na mtu wa chini kabisa.

Jamaa amevunja expectations za watanzania wengi sana, watu walimtumaini sana, wakamwamini na kumpa ridhaa kwa kishindo wakiamini yeye ndie mkombozi wao daah! kawageuka vibaya, instead of maisha bora sasa ni bora maisha duuh! lazima wamchoke na kumwombea mabaya!
 
Udini na ukanda unaowasumbua na roho mbaya tunampenda sana Jk na ndomana tulimpa ridhaa tena ya kushika hatamu!nyie watu a kaskazin mmeshapanga kujitenga n ndio hamumpend kwahy tafadhal msitusemei sisi watanzania kwa kuzusha uongo na unafiki,kamwe huyo rais wenu kushka nchi hii hizo ni ndoto
 
Hakuna Rais bora Tanzania zaidi ya Jakaya Mrisho Kikwete.

Ni nani aliyefanya zaidi yake kuhusu chochote mtachochaguwa.
 
Nani kaongelea udini na ukanda kama sio wewe?Kumbuka kila mtanzania ana msimamo wake,na sio lazima ufanane na wa kwako!Pili ujue rais huyo huyo aliomba kura kwa watanzania wote bila kujali udini, ukanda,utajiri wala ufukara
 
Udini na ukanda unaowasumbua na roho mbaya tunampenda sana Jk na ndomana tulimpa ridhaa tena ya kushika hatamu!nyie watu a kaskazin mmeshapanga kujitenga n ndio hamumpend kwahy tafadhal msitusemei sisi watanzania kwa kuzusha uongo na unafiki,kamwe huyo rais wenu kushka nchi hii hizo ni ndoto

Vague!
 
Hakuna Rais bora Tanzania zaidi ya Jakaya Mrisho Kikwete.

Ni nani aliyefanya zaidi yake kuhusu chochote mtachochaguwa.
kasafiri sana nje ya nchi,kafunika tz nzima,nenda uhamiaji kaulize
 
si kweli kwamba kuna udini na ukabila,jk kachemsha maisha magumu kwa wa tz ,mfumuko wa bei, na ufisadi wa mawaziri wa na yeye hachukui hatua yoyote, tumwelewaje wakati yeye ndio mkuu wa nchi?
 
Udini na ukanda unaowasumbua na roho mbaya tunampenda sana Jk na ndomana tulimpa ridhaa tena ya kushika hatamu!nyie watu a kaskazin mmeshapanga kujitenga n ndio hamumpend kwahy tafadhal msitusemei sisi watanzania kwa kuzusha uongo na unafiki,kamwe huyo rais wenu kushka nchi hii hizo ni ndoto

utavaa tsht za njano mpaka ushangae!
 
Wakuu, leo mida ya saa tisa nilikuwa mitaa ya kisutu,wakati na nunua vocha mara jamaa akajitokeza na kusema "aaa masikini!!! amefarik??, muuza vocha akadakia akishangilia akiuliza, jk? jamaa akasema sioo!!da muuza vocha alikasirika alitaman afe tuchague mwingine et amechoshwa na mambo yake yooote. ndipo hapo nikapima ni kwa kiasi gani sasa mkuu wa kaya hapendwi kabisa kiasi cha kuombewa kifo na mtu wa chini kabisa.
hayo nimesikia dialog ya watu sina source nyingine.
hata mimi mmoja wapo nampango wa kuanzisha kikundi cha waasi dhidi ya serikili ya JK
 
Back
Top Bottom