Picha: Waingereza waliomwagiwa tindikali Zanzibar

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Hatimaye Katie Gee and Kirstie Trup, wasichana waliomwagiwa tindikali zanzibar wamewasili nchini Uingereza kwa matibatu zaidi. Familia zao zimetoa picha ya namna miili yao ilivyoharibiwa na tindikali.




acid-attck-main-new-2143984.jpg


4655045_orig.jpg

3462278_orig.jpg

4808904_orig.jpg

2501243_orig.jpg

611430_orig.jpg
 
O M G,kuna binadam wana roho mbaya sana!!na sijui huko mbinguni kama wote tutakaa sehemu moja
 
Hatimaye Katie Gee and Kirstie Trup, wasichana waliomwagiwa tindikali zanzibar wamewasili nchini Uingereza kwa matibatu zaidi. Familia zao zimetoa picha ya namna miili yao ilivyoharibiwa na tindikali.




acid-attck-main-new-2143984.jpg

Yaani hii ni aibu ya kutosha kabisa kwa hii nchi. Watz wakifanyiwa hivyo ughaibuni watafurahi? Jambo usilotaka kutendewa usimtendee mwenzako. Nashauri Watz walioko Ulaya wawe makini wasije wakalipiziwa kisasi huko. Nothing is impossible.
 
Ina huzunisha sana

Hapa ndipo akili za baadhi yetu zilipogota. You just think inawezekanaje mtu anawaza tu kudhuru vibinti kama hivi kwa tindikali then katika mahojiano watu wanasema you have to respect others culture when you visit their place. Yaani hatuna cultural diversities and variation duniani? Zanzibar inaishi kwa utalii then unataka watalii wakija Zanzibar wavae hijab wote? Then iweje? Kila mtalii asilimishwe kabla hajaingia Zanzibar. Nonsense. Kama jibu halitapatikana la matukio haya, madhara yake ni makubwa sana huko mbeleni.
 
Hapa lazima serikali itoe majibu! wakina HAMY-D na LUKOSI watakuwa na majibu sahihi kwani ndio watetezi wa kila kitu kibaya kinacho fanyika chini malezi mabaya ya utaratibu wao!!!!!!!!!!!!!!!! Basi wacha tuwasikie!
Kwani umeambiwa Serikali ni uamsho?

Hao waliofanya hivyo ni wapumbavu wachache wanaojifanya wao wanaijua dini kuliko hata walioileta

Mbona ndugu zao wamejazana huku UK wanapewa malezi kama kuku wa mayai na hawabughuziwi sembuse kwao vumbi tupu na watu wanenda huko kutalii tu wala hakuna mwenye mpango wak kuishi kwenye magofu
 
Kwa nini kama mtu anajiamini asitoe dukuduku lake kuliko njia ya kudhuru mtu asiye na hatia kwa chuki binafsi.
Hicho ni kitendo cha uoga, mara nyingi waoga hawawezi kujitokeza na kutoa dukuduku, hawana hoja ndio maana hawaezi kujitokeza,
COWARDS, WAOGA WAKUBWA.
 
Serikali yetu ya ajabu sana, tumekuwa na usemi wa INTELIGENCY hasa pale chadema inapopanga kufanya mikutano na kutumia neno hilo kuwa wamepata taafifa za kiintelijensia kuwa panaweza kutokea maafa, inamaana katika hili intelijensia huwa inalala? na mbona hamna bidii zozote zinazofanywa kwa matukio kama haya yanayo wapata watz? nini huwa ni hatma yake, labda kwakuwa ni wageni nadhani watakamatu watu wasio husika kuonyesha kama kweli wamewakamata. ila nionavyo kwa hili they have tobe serious au wanasubili makachero wa marekani??
 
Kwa tukio hili leo limenifanya niukane utanzania wangu mbele za watu.
Huku nakofanyia kazi nimekua siku zote naeleza sifa nzuri za Tanzania ikiwemo aman na utulivu na kuwaambia watu Tanzania ni sehemu ya kutembelea. Napo sema Tanzania namaanisha na Zanzibar ikiwemo. Sasa hii aibu yaani kila mtu kaisoma au kusikia kwenye radio au kuangalia kwenye tv. Swali lililo nifanya niukane utanzania wangu ni kweli usalama upo Tanzania?? Nikaishia kusema Zanzibar sio Tanzania wakati siku zote nikisema sehemu za kutembelea huwa naweka Zanzibar pia.
Jamani tuwape Zanzibar yao muungano hauna maana kama wengine hawataki kuungana. Tanganyika we've nothing to loose
 
Tunapo eleke ni pabaya sanaaaa, me mwisho kuwa nje ya kanyumba kangu saa 12 jion naninatembe na makundi ya kuanzia watu 10 nakuendelea sitakitabu mie.... kwani tuliowapa dhamana wameshindwa kabisa kutuongoza

Wasomalia ni wengi sanaa hapa Tanzania na ndio sababu hii, watu wameongea sanaa karate zinafundishwa misikitini na makanisani serikari imekaa kimya tuuuu.....

Watoto wa mtaani ni tatizo kubwa sana la baadaye watu wamekaa kimya tu.....

Madawa ya kuleevya ni tatizo kwa taifa watu wamekaa kimya tuuuu......

WANAO FANYA HII ULIPWA UJILA MDOGO SANAAAAAA, ATA MIMI WENGINE NAWAJUA WAPO TANDALE NA KITUNDA NDIO MAKAMBI YAO NA MIJI YAO, SERIKALI INAJUA SANAAA!!!...
 
Hatimaye Katie Gee and Kirstie Trup, wasichana waliomwagiwa tindikali zanzibar wamewasili nchini Uingereza kwa matibatu zaidi. Familia zao zimetoa picha ya namna miili yao ilivyoharibiwa na tindikali.




acid-attck-main-new-2143984.jpg

Nimehuzunika sana udini unatuangamiza tumwagiane wenyewe, lakini binti kama huyu amepata kilema kama hiki kwa kujitolea kuwafundisha watu wajinga wenye shingo ngumu bila mafanikio?
Mr II alisema Tanzania ina Janjaweed! Watu wakawa wakali kweli.
 
Hawa wajinga waliofanya unyama huu hawana utu .Ni wanayma na hawana life .Kuwadi wakubwa na they are powerless .Hawawezi kutembea zaidi ya Zanzibar .Sisi tunao zunguka Dunia tunajua kabisa uhuni unatuumiza sisi na si wao walio kalia fitina.Wajinga wakubwa na agenda zao za siri .Waudhalilisha utu .Watoto wadogo hawa unawapa vilema vya maisha ujinga gani ?JK amka and act tumechoka na Nchi inaenda kubaya .
 
Kwani umeambiwa Serikali ni uamsho?

Hao waliofanya hivyo ni wapumbavu wachache wanaojifanya wao wanaijua dini kuliko hata walioileta

Mbona ndugu zao wamejazana huku UK wanapewa malezi kama kuku wa mayai na hawabughuziwi sembuse kwao vumbi tupu na watu wanenda huko kutalii tu wala hakuna mwenye mpango wak kuishi kwenye magofu

Hivi we uko sawa kweli?
 
Back
Top Bottom