SILENT GUNNER
Member
- Jan 23, 2012
- 22
- 9
Wadau habari zenu,pengine kwa kutofahamu nimekuwa na hisia fulani juu ya gazeti liitwalo mitaa yetu, leo imekuwa mara ya pili kuna mtu amekuwa akigawa gazeti hilo maofisini,siku ya kwanza nilishindwa kumhoji japo kidogo, leo tena kaingia kwa haraka na kutoka huku akiacha gazeti hilo na mara nying lina kuwa na vichwa vya habari ambavyo vinaonyesha msimamo hasi kwa chadema je gazet hili kuna mtu analijua? Ama linamilikiwa na magamba wanaohangaika kujivua gamba? naomba kuwasilisha.