Search results

  1. M

    Mwalimu wa biology na chemistry.

    NATAFUTA MWALIMU WA BIOLOGY NA CHEMISTRY MWENYE DIPLOMA AU DEGREE. KWA MWASILIANO TUWASILIANE KWA NUMBER 0713 007977 AU EMAIL eliud732001@yahoo.com, anahitajika haraka sana.kama una sifa tuma application haraka ili tukuite kwa interview.shule iko Dar es salaam.
  2. M

    Mwalimu wa biology na chemistry.

    NATAFUTA MWALIMU WA BIOLOGY NA CHEMISTRY MWENYE DIPLOMA AU DEGREE. KWA MWASILIANO TUWASILIANE KWA NUMBER 0713 007977 AU EMAIL eliud732001@yahoo.com, anahitajika haraka sana.kama una sifa tuma application haraka ili tulkuite kwa interview.
  3. M

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Hoja ya zitto ina maana sana ingawa mwanasheria mkuu anapingana nae anataka mambo yakeyale.
  4. M

    Mhando kaamua kufa na tai shingoni?

    Nafikiri wengi hamkusikia vizuri hotuba ya msemaji wa kambi ya upinzani. aliomba kamati maalumu iundwe kwa ajili ya uchunfuzzi wa suala hiliu
  5. M

    Mabere Marando asema Meseji zilizodaiwa kutumwa kwa Mwigulu ni za kuchonga!

    SMS spoofing SMS spoofing is a relatively new technology which uses the short message service (SMS), available on most mobile phones and personal digital assistants, to set who the message appears to come from by replacing the originating mobile number (Sender ID) with alphanumeric text...
  6. M

    Ajira - waalimu wa geography na kiswahili au history.

    TUNATAFUTA MWALIMU WENYE DIPLOMA YA UALIMU AU DEGREE UALIMU YA MASOMO YA COMBINATION ZIFUATAZO LAZIMA AWE AMESOMA GEOGRAPHY NA KISWAHILI AU HISTORY. MSHAHARA NI MAELEWANO.KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU 0713 007977 AU 0786 007977 AU TUMA CV YA KWA EMAIL IFUATAYO eliud732001@yahoo.com . SHULE...
  7. M

    Ajira - kwa waalimu wa physics na mathematics olevel.

    KWA MTU YOYOTE WENYE DEGREE AU DIPLOMA YA UALIMU MASOMO YA PHYSICS AU MATHEMATICS ANIPIGIE SIMU AU ATUME CV YAKE KWA MAWASILIANO YAFUATAYO . MSHAHARA MZURI, SIYO PART TIME NA USIWE HUJAMALIZA MASOM YAKO NAMBA YA SIMU 0813 007977 AU 0786 007977 NA eliud732001@yahoo.com
  8. M

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    sasa nimejua kuwa NCCR, NA CUF NI KAKA NA DADA HATA WAKIGOMBANA KUNA SIKU WANAKUTA KWA BABA YAO CCM. HII NDO SABABU ILIYOWAFANYA CHADEMA KUKATAA KUUNGANA NA VYAMA VINGINE KWENYE KAMBI RASMI MBUNGENI.SASA CHAMA CHA UPINZANIA TANZANIA NI NI CHADEMA ...
  9. M

    Simbachawene ndani ya baraza la Mawaziri!!

    ni kweli anafaa kuwa waziri hasa akipewa lungu na hasa kwenye kipindi hiki cha uwajibikaji lakini maoni mengi tuulize wapiga kula wake kwani always charity inaanzia nyumbani
  10. M

    Mwenye uwezo wa sifa za kufundisha chemistry na physics olevel anitafute

    SIFA: LAZIMA UWE UMESOMA DIPLOMA/ DEGREE YA ELIMU CHUO CHOCHOTE KINACHOTAMBULIWA NA SERIKALI NA KUFAULU KWA MASOMA YA CHEMISTRY NA PHYSICS.SHULE WILAYANI KISARAWE NA USAFIRI UKO KILA SIKU YA KAZI SAA 12:30 ASUBUHI BUGURUNI DAR ES SALAAM.MSHAHARA NI MAELEWANO. KWA MAWASSILIANO ZAIDI TUWASILIANE...
  11. M

    Mwenye uwezo wa kufundisha chemistry na physics anitafute

    KAMA UNA DIPLOMA YA UALIMU AU GRADUATE YA CHEMISTRY NA PHYSICS NIPIGIE NIKUPE KAZI NA MSAHARA NI MAELEWANO. KWA MAWASILIANO PIGA 0713007977/ 0786 007977. AU SENDI YOUR CV TO eliud732001@yahoo.com kazi njema na siku njema
  12. M

    Madudu mengine wizara ya maliasili

    Wenyekiti wa mali asili - lembeli anasoma riport ya usafirishaji wa wanyama pori kwenda nje kwa mizengwe anatoa mapendekezo yake.kama wizara nyingine ni madudu tu.
  13. M

    MWALIMU ANATAKIWA HARAKA WA DIPLOMA 4 ABE Acconting & QM (mathematics)

    Kama unataka nitafute kwa namba hii 0713 007977
  14. M

    ON STAR TV LIVE: Demokrasia Tanzania na Nafasi ya Vyama vya Upinzani

    Tuwa wakweli chama cha cuf kilikuwa kinaenda vizuri lakini baada ya kuungana na ccm na katibu mkuu wake akawa makamo wa kwanza wa rais zanziba pia katibu mkuu wa chama kwa maana hiyo anafanya vitu vizuri kwa nafasi zake zote.kwa masilahi ya chama ni vizuri akachagua nafasi moja tu ili kupunguza...
  15. M

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    Tumechoka na lowasa kila ck hebu andikeni cha maana mjue tunasomaa mnachoandika javini.wapo na yapo mambo ya ksingi ambayo mnapaswa muandike.
  16. M

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    tuambie kisa halisi kilichosababisha mauti yake.
  17. M

    Noti mpya ni Ufisadi mwingine? Nani awajibike?

    tatizo kubwa hapa ni ufisadi.NYERERE ALIKUWA ANATANGAZA MWISHO WA MATUMIZI YA PESA YA ZAMANI HALAFU ANATOA MPYA HAPA KWETU SASA KILA MTU INAONYESHA ANAMAMLAKA YA KURTOA PESA AS IF WAZIRI WA FEDHA KATOa yake na mkuu wa kaya nae katoa yake then wakakuta zik mitaaani zote. mambo ya managment
  18. M

    Natafuta Ajira ya Muda

    kaka pole sana -, nakushauri tafuta shule za kata hapo karibu na unapokaa umuombe mwalimu mkuu atakusaidia kwa malipo kidogo anao huu uwezo.
Back
Top Bottom