Search results

  1. Kyambamasimbi

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Duuu ndugu yangu watendaji wa vijiji mbona umewaaacha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  2. Kyambamasimbi

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Halafu maeneo mengine ukichimba shimo mitaa chache tu jiwe tayari.
  3. Kyambamasimbi

    Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    Pole sana Mungu akutie nguvu. Nmesikitika sana.
  4. Kyambamasimbi

    Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    Pole sana Mungu akutie nguvu. Nmesikitika sana.
  5. Kyambamasimbi

    DOKEZO Sukari inauzwa madukani Tukuyu ikiwa haina maandiko yoyote, haija ‘expire date’ wala utambulisho kuwa inatoka wapi

    Hapo umeongea kisomi sio wengi wanapayuka tu. Tufanye nini sasa kama tatizo lipo? Tuendelee kutumia hivohivo na kwamba sisi ndio dampo la
  6. Kyambamasimbi

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Kama mm mkuu Moja watu ambao huwa nawashangaa ni watu wa Dar na maisha Yao. Mpaka najiuliza hakuna maeneo mengine ya kuishi lazima kuishi Dar?
  7. Kyambamasimbi

    DOKEZO Sukari inauzwa madukani Tukuyu ikiwa haina maandiko yoyote, haija ‘expire date’ wala utambulisho kuwa inatoka wapi

    Ishu sio kukolea ishu usalama wako kiafya. Acha kufakamia. Sheria za usalama wa bidhaa ziko wazi utajua vipi tarehe ya ku expire kama haijaandikwa chochote? Tafakari
Back
Top Bottom