Cauldron
JF-Expert Member
- Apr 27, 2016
- 352
- 544
Niliwahi fika huko na kukaa kati ya 2015-2018, usafiri gar zinatoka saa 10 alfajiri kwenda Dodoma mjini maji ni shida. Kijiwe chao kikibwa ni MtambalizeniKijiji cha Chimendeli, wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma.
Sijui kule watu Wanaishi vipi. Unaweza Kudhani uko Somalia au Afghanistan.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app