DOKEZO Sukari inauzwa madukani Tukuyu ikiwa haina maandiko yoyote, haija ‘expire date’ wala utambulisho kuwa inatoka wapi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hata Dar hizo sukari zimejaa tele, na zinakolea vizuri tu kwenye chai.
Ishu sio kukolea ishu usalama wako kiafya. Acha kufakamia. Sheria za usalama wa bidhaa ziko wazi utajua vipi tarehe ya ku expire kama haijaandikwa chochote? Tafakari
 
Unakula vingapi bila kujua usalama wake, sembuse sukari?

BTW kama siku yako imefika utakwenda tu, no mara waa
 
Kule ilikotoka inakuwa salama kwa matumizi yenu?? Kama sio walafi miguruwe
Kama hujui kitu kaa kimya hao Ilovo wanaotengeza Sukari Tanzania ndio hao hao wameshika Soko Nchi zote za SADC,Tanzania ni watu wachache wanatengeneza mazingira ya Sukari ionekane ni Big deal ili wao wapate Tenda ya kuleta kila mwaka hakuna Nchi katika SADC ina upungufu wa Sukari zaidi ya Tanzania kwa sababu ya wahuni wachache hapo Lilongwe pana muda ni Tsh 1500...
Swaziland wanazalisha zaidi ya Tan 700,000 za Sukari kwa mwaka na inafikia kipindi wanachoma moto iliyoharibika wakati Tanzania sasa hivi mikoa mingi wanatumia Sukari isoyo na kiwango na ipo maduka sio hiyo ya Tukuyu mikoa mingi tu...
 
Ishu sio kukolea ishu usalama wako kiafya. Acha kufakamia. Sheria za usalama wa bidhaa ziko wazi utajua vipi tarehe ya ku expire kama haijaandikwa chochote? Tafakari
Kyambamasimbi una hoja ila tafuta nani wanatengeneza hili tatizo na hii biashara hujui inavyokwenda kabisaa...
 
Kama hujui kitu kaa kimya hao Ilovo wanaotengeza Sukari Tanzania ndio hao hao wameshika Soko Nchi zote za SADC,Tanzania ni watu wachache wanatengeneza mazingira ya Sukari ionekane ni Big deal ili wao wapate Tenda ya kuleta kila mwaka hakuna Nchi katika SADC ina upungufu wa Sukari zaidi ya Tanzania kwa sababu ya wahuni wachache hapo Lilongwe pana muda ni Tsh 1500...
Swaziland wanazalisha zaidi ya Tan 700,000 za Sukari kwa mwaka na inafikia kipindi wanachoma moto iliyoharibika wakati Tanzania sasa hivi mikoa mingi wanatumia Sukari isoyo na kiwango na ipo maduka sio hiyo ya Tukuyu mikoa mingi tu...
Hapo umeongea kisomi sio wengi wanapayuka tu. Tufanye nini sasa kama tatizo lipo? Tuendelee kutumia hivohivo na kwamba sisi ndio dampo la
 
Yaani hata Mimi nimeshangaa Sana, issue sensitive kama hii alaf watu wanajibu kwa dhihaka, kwa akili za namna hii ndio maana serikali inafanya inavyotaka na hakuna hatua zozote zitachukuliwa

Hii mada ingekuwa ya namna ya kumfikisha mwanamke kileleni au namna ya kuunganisha mabao bila kupumzika ungeona namna watu wanavyotiririka humu

So sad 😢
Ni hatari Sana aisee.
Wenzetu ktk nchi zingine wapo very serious and very careful kwenye masuala kama haya.
Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kusafiri kutoka Tanzania kwenda nchi Fulani nikiwa na dagaa wa kukaanga ambao walikuwa well packed ktk mifuko miwili ya nylon ya kilo tano kila mmoja, nilipofika Airport kule ugenini nilipata usumbufu mkubwa Sana kutoka kwa watu wa Food Security and Quality Control wa nchi ile. Hawakuniruhusu kuondoka airport nikiwa na wale dagaa mpaka walipoenda kuwapima kwenye Maabara zao na kuthibitika kwamba walikuwa salama kwa kuliwa na binadamu ndipo niliruhusiwa kuwachukua. Yaani wako very serious ktk suala zima la Usalama wa Chakula, hawataki masihara hata chembe.
 
Kwenu TBS naomba kujua ni halali kuuza sukari iliyowekwa kwenye mifuko Tena ya kilo Moja haioneshi imetoka wapi Wala Haina expire date.

Hii ipo Tukuyu maeneo ya Kiwira, KKK, Tukuyu mjini, sasa je usalama wa bidhaa hiyo kwa mlaji ukoje? Jamani fuatilieni watu wajue wanatumi bidhaa ya namba Gani.
Nunua au acha, kwenye chai tunaweka sukari kwenye kimpumu tunaweka eksipaya deti.
 
Nani ana uwezo wa kuweka sukari mpaka iwe expired? Sukari ni bidhaa ya kutumia kila siku ndio maana huwezi kukuta ime expire.From kiwandani hadi kwa mteja na sukari iliyoagizwa kutoka nje imepimwa ubora wake.
 
Ni hatari Sana aisee.
Wenzetu ktk nchi zingine wapo very serious and very careful kwenye masuala kama haya.
Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kusafiri kutoka Tanzania kwenda nchi Fulani nikiwa na dagaa wa kukaanga ambao walikuwa well packed ktk mifuko miwili ya nylon ya kilo tano kila mmoja, nilipofika Airport kule ugenini nilipata usumbufu mkubwa Sana kutoka kwa watu wa Food Security and Quality Control wa nchi ile. Hawakuniruhusu kuondoka airport nikiwa na wale dagaa mpaka walipoenda kuwapima kwenye Maabara zao na kuthibitika kwamba walikuwa salama kwa kuliwa na binadamu ndipo niliruhusiwa kuwachukua. Yaani wako very serious ktk suala zima la Usalama wa Chakula, hawataki masihara hata chembe.
Yani watanzania hamna kitu, ndomana wanasiasa wala hawapati tabu kutuburuza
 
Ni hatari Sana aisee.
Wenzetu ktk nchi zingine wapo very serious and very careful kwenye masuala kama haya.
Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kusafiri kutoka Tanzania kwenda nchi Fulani nikiwa na dagaa wa kukaanga ambao walikuwa well packed ktk mifuko miwili ya nylon ya kilo tano kila mmoja, nilipofika Airport kule ugenini nilipata usumbufu mkubwa Sana kutoka kwa watu wa Food Security and Quality Control wa nchi ile. Hawakuniruhusu kuondoka airport nikiwa na wale dagaa mpaka walipoenda kuwapima kwenye Maabara zao na kuthibitika kwamba walikuwa salama kwa kuliwa na binadamu ndipo niliruhusiwa kuwachukua. Yaani wako very serious ktk suala zima la Usalama wa Chakula, hawataki masihara hata chembe.
Hakika mkuu ndivyo inavyotakiwa.
 
Nani ana uwezo wa kuweka sukari mpaka iwe expired? Sukari ni bidhaa ya kutumia kila siku ndio maana huwezi kukuta ime expire.From kiwandani hadi kwa mteja na sukari iliyoagizwa kutoka nje imepimwa ubora wake.
Fuatilia Historia iliwahi kukamatwa ikifika Brazil miaka 2010 kurudi nyuma
 
Hapo umeongea kisomi sio wengi wanapayuka tu. Tufanye nini sasa kama tatizo lipo? Tuendelee kutumia hivohivo na kwamba sisi ndio dampo la
Mkuu ishu ya Sukari sioni kama pana kitu tunaweza kufanya maana ni biashara imeshikwa na Tycoon wakubwa sana ndio hao wanafanya tunatumia huu uchafu wa kupimwa maana Sukari iliyo kwenye mifuko ni adimu sana nilisema una hoja nzuri tu...
 
Oya bibi nani tena?
bibi ndio mwenye shamba lake la Tanzania kwasasa, watoto wote na wajukuu wapo bize kuchuma mali wanajua bibi hatawafanya lolote, yeye anakomalia kufoka kwa karamu :p kizazi hiki, amechelewa thana na watamchezea thana
 
Yaani hata Mimi nimeshangaa Sana, issue sensitive kama hii alaf watu wanajibu kwa dhihaka, kwa akili za namna hii ndio maana serikali inafanya inavyotaka na hakuna hatua zozote zitachukuliwa

Hii mada ingekuwa ya namna ya kumfikisha mwanamke kileleni au namna ya kuunganisha mabao bila kupumzika ungeona namna watu wanavyotiririka humu

So sad 😢
😂😂😂
 
Back
Top Bottom