Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

Kijiji cha Chimendeli, wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma.

Sijui kule watu Wanaishi vipi. Unaweza Kudhani uko Somalia au Afghanistan.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Niliwahi fika huko na kukaa kati ya 2015-2018, usafiri gar zinatoka saa 10 alfajiri kwenda Dodoma mjini maji ni shida. Kijiwe chao kikibwa ni Mtambalizeni
 
Walimu wa shule za msingi ndio wanavijua sana vijiji,wengine bado wanaishi hukohuko na wengine walikimbia,waje humu kutoa ushahidi...
 
Mwanza miambani wananoishi watia huruma sana japo wao wanaona wamepata viwanja city centre.

Huwa najiuliza walishindwaje kuweka makazi Usagara, Misungwi na Magu badala ya kubanana kwenye mawe kama mijusi ambako kupanda ni shida na inaweza kuchukulia lisaa kwenda sehemu unayoiona kwa mbele tu hapo.

View attachment 2378247
hadi leo huwa najiuliza hivi hawa watu vyoo vyao wanachimbaje, au wanaweka uchafu wao kwenye rambo?
 
Dar es Salaam ......nilishangaa sana watu wanaishije pale wamefikaje huko.....manake usafiri maji ni tabu
 
Kijiji cha Amani-Ludewa wananchi wa kule ni zaidi ya ng'ombe! Wana maisha magumu! Na dhahabu ipo kwao!

Ni wavivu wa kujiongeza...wamekalia kulewa komoni na ulanzi tu!

Mwenzao mzee kaberege anazidi kujinufaisha kwa kununua maeneo yao yenye Mali...maana ameingia mkataba na WA south!

Hapo hapo Kuna ka-eneo tulikabatiza jina -Dodoma....hapo ndipo makao makuu ya Gono, Kaswende kuntu! na Ngwengwe!

Ni rahisi zaidi kupewa inshu na demu buree! kuliko kupewa kikombe cha maji ya kunywa!
 
Duu kweli mkuu? Kweli Dunia hii ni kubwa
 
Walimu wa shule za msingi ndio wanavijua sana vijiji,wengine bado wanaishi hukohuko na wengine walikimbia,waje humu kutoa ushahidi...
Duuu ndugu yangu watendaji wa vijiji mbona umewaaacha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Si nauli ya dar kabisa mkuu, kweli nchi kubwa hii
Anadanganya. Hakuna kijiji hiko huko Kilolo. Nimeshawahi ishi huko labda ni kitongoji japo ni kweli kuna vijiji toka Kidabaga hadi ufike huko nauli ni hiyo. Mfano Kijiji cha Kimala, Uluti, Idete, Itonya na Idunda ila hiko kijiji alichotaja hakipo.
 
Kijiji cha Amani-Ludewa wananchi wa kule ni zaidi ya ng'ombe! Wana maisha magumu! Na dhahabu ipo kwao!

Ni wavivu wa kujiongeza...wamekalia kulewa komoni na ulanzi tu!

Mwenzao mzee kaberege anazidi kujinufaisha kwa kununua maeneo yao yenye Mali...maana ameingia mkataba na WA south!

Hapo hapo Kuna ka-eneo tulikabatiza jina -Dodoma....hapo ndipo makao makuu ya Gono, Kaswende kuntu! na Ngwengwe!

Ni rahisi zaidi kupewa inshu na demu buree! kuliko kupewa kikombe cha maji ya kunywa!
Aiseeee
 
Back
Top Bottom