Search results

  1. M

    Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

    We lipumbavu kweli kesi ya mbowe ipi hiyo?unaona kulikuwa na kesi pale kwa akili yako au maigizo?
  2. M

    Mwami Theresa Ntare VI wa Heru - Chifu wa kwanza mwanamke

    Tusomee pia naona hajatajwa Theresa Ntare why?
  3. M

    Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

    We bwana vipi mbona unakomaa na vitu siyo vyako umeambiwa katege ubebe na wewe,monyo!!
  4. M

    Sitamsamehe huyu mtoto wa mjomba wangu

    Umekaa ukafikiria ukaona hiki ndiyo cha kuandika kwa maendeleo ya taifa,mbuzi!
  5. M

    Mizimu(Waafrika), Majini(waarabu)&mazombi(wazungu) kunatofauti gani?

    Mimi nimewaza sana juu ya mizimu,majini na mazombi katika kuabudu. Ni wazi Waafrika kabla ya waarabu tulikuwa na Mizimu walipofika waarabu wakafika na majini kupitia uislam na walipofika wazungu wakafika na mazombi i.e Yesu. Hivi hapo kuna tofauti gani inayotufanya Waafrika tuache kuabudu...
  6. M

    UPDATE: Nimeanza kuacha matumizi ya dawa za kupunguza mapigo leo tarehe 25 saa4 kamili asubuhi

    Ndiyo kwa kuvuta kiasi mara moja kwa wiki na nimetoka muhimbili jana klinik wameshangaa baada ya vipimo kuonyesha mafanikio. Nilisimbuliwa sana na pressure ya kushuka kwa muda mrefu iliyosababishwa na portal hypertension iliyopelekea mishipa kupasuka na damu kuvujia tumboni hatimae kutapika na...
  7. M

    Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

    Nyuzi za kijingajinga kama hizi ndiyo waTz mnapenda kuchangia lakini za maendeleo hamtaki kabisa
  8. M

    RTO Mtafungwa umetumia ubabe kumkamata dereva wa basi la Newforce kwenda Tunduma

    Unachofanya ni ubabe kwani kama dereva kakimbia speed 87 ulipaswa kumchukulia hatua siyo kulishikiria basi pasipo kuangalia upande wa pili wa abiria. Askari uliyemuagiza akamate gari amejaribu kukushauri walipe faini ili waendelee na safari bali umekataa na baada ya muda ndiyo unasema dereva...
  9. M

    Mwenye swali lolote kuhusu Tiba za uchawi

    Je umaweza kuwaroga mafisadi,wabadhirifu na waonezi walioserikalini?
  10. M

    Kamishina wa Ardhi Rukwa, Mkuu wa Idara ya Ardhi Sumbawanga na Fagio Auctioner wananyanyasa wananchi Rukwa juu ya Kodi ya Ardhi

    Hayo ni mawazo yako na ujinga wako kwanini nisiwe mwenyenyumba,dalali,ndugu ama raia mwema unakimbilia msamnaza nyaraka?
  11. M

    Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

    Sasa yesu ni nani asilinganishwe na Magufuli tena huyo yesu hamfikii Magufuli hata kidogo,acha kushikiwa akili bwege wewe
  12. M

    Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Ndiyo maana nakwambia wewe ni mjinga zaidi yangu unawaamini na kuwanuenyekra ngozi nyeupe i.e waarabu na wazungu,hivi kwakuwa wazungu wapo waislam ndiyo kunakufanya uwe muislam? Soma hiyo najua huwezi kumuamini Mwafrika kama unavyo waamini waume zako wazungu na warabu!!
  13. M

    Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Wewe ni jinga hiyo biblia unayoiamini imeganyiwa utafiti na Mwafrika au Mzungu?Hiyo elimu unayoiamini iliandaliwa na Mzungu au Mwafrika?nimekuletea tafiti za mabwana zako kwani najua ndizo unazoamini na ukitaka tafiti za Afrocentric view naweza kukupatia pia ingawa najua huwezi kuziamini kwa...
  14. M

    Waziri Ummy Mwalimu: Hayati Magufuli alinipa billioni 15 kukarabati vifaa tiba vya hospitali ya Ocean Road

    Hao unaowataja wanatuhusu nini sisi au wamelifanyia nini Taifa hili?? Hata wangekuwepo wangekuwa na impact gani hasa iwapo waliopo kama wai ni wanafiki?
  15. M

    Waziri Ummy Mwalimu: Hayati Magufuli alinipa billioni 15 kukarabati vifaa tiba vya hospitali ya Ocean Road

    Huo ndiyo upumbavu wenu Waafrika hivi hizo hela angeamua kusafiria kwenda kula bata nje mngemfanya nini?Ebu kachue na wewe serikalini hela ujenge hata 1km ya lami kijijini kwa babu uako. Mnapenda kulalama juu ya kusema hela ya serikali ni ya Rais utadhani mnauwezo wa kuzigusa hata Tsh.1 kwa...
  16. M

    Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Kama unaakili huwezi kuniuliza tena ujinga wako tena,kuwa mtafiti na tafakari kabla hujafa. Haya nimekusaidia dini ya Waafrika ni hiyo na wameandika wazungu wako kwa utafiti wao ila kwa kuwa umemezeshwa limbwata na wazungu hata haya utapinga,kosa mali upate akili mzee!!
  17. M

    Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Kazi kweli yani hata kutafasiri huwezi sasa wewe ni mzima kweli?kinachotakiwa hapo ni maana au lugha iliyotumika?jinga kweli wewe
Back
Top Bottom