Waziri Ummy Mwalimu: Hayati Magufuli alinipa billioni 15 kukarabati vifaa tiba vya hospitali ya Ocean Road

Wala hasemi hvyo kumpa sifa Magufuli, La hashana!! Anasema kuwakumbusha wale wanaomsema yy waziri kuwa hajafanya chochote kwenye wizara hio,xx kwann alirejeshwa hapohapo watu wanahoji!!Na yy ndo anawajibu kuwa Ocean road ya leo ni juhudi zake, huyo Magu katoa tu pesa, mpango ni wakwake yy
 
Magu alikuwa mzalendo wa kweli na mwenye huruma kwa walipakodi masikini.
Uongoziwake utapigiwa mfano kwa miaka mingi sana ijayo.

Despite wapumbavu wanao jaribu kumchafua kilasiku, JPM atabaki kuwa juu.
Mema yake aliyoitendea nchi ndio yanayo wafanya wahuni wasipate usingizi na wanashindwa kukwepa kivulichake.

Mungu amrehemu jemedariwetu.
Mchafu hachafuki. Magufuli alikwishachafuka muda mrefu kwa kumiliki kikundi haramu ndani ya Serikali maarufu kama "wasiojulikana". Na washirika wakubwa wakiwa Paul Makonda, Ole Sabaya, Musalika Makungu nk.

Tuliwaonya sana kuwa Magufuli siyo Mungu, iko siku hatakuwa madarakani na ukweli utawekwa wazi. Ule wakati ndiyo huu sasa
 
Mkuu @etwenge Biblia inatuambia juu ya kisa cha Raheli kuwalilia watoto wake waliofariki na hukutaka hata kufarijiwa kwakuwa hao watoto hawatakuwapo tena, lakini hii haikuondoa ukweli kuwa wale watoto wamefariki na wasingerudi tena na kwako Mkuu ni vyema ukaruhusu kipindi cha uchungu kupita maana hautaweza kuubadili wakati, nenda na wakati Mkuu sasa wewe ukiwa hivi je watoto na mke wa Hayati waweje sasa?
 
Magu alikuwa mzalendo wa kweli na mwenye huruma kwa walipakodi masikini.
Uongoziwake utapigiwa mfano kwa miaka mingi sana ijayo.

Despite wapumbavu wanao jaribu kumchafua kilasiku, JPM atabaki kuwa juu.
Mema yake aliyoitendea nchi ndio yanayo wafanya wahuni wasipate usingizi na wanashindwa kukwepa kivulichake.

Mungu amrehemu jemedariwetu.
Kama angeweka systems kwa uwazi za kuweza kudumisha na kuendeleza hayo mnayosema ni mazuri asee hata wenye akili ndogo wangemsapoti.
Tatizo lake kuu alipenda ufalme kama yule mdogo wake mfalme Zumaridi.
Haiwezekani fedha za umma zitoke alafu utukufu n ukuu apewe rais as if hizo fedha ni zake binafsi!
Alinyamaziwa akapigiwa makofi akajazwa akajaa... mwishowe fedha za umma zikawa zinatoka kwa upendeleo kama za kuhongwa hongwa hivi.
JPM alikuwa mshamba mmoja aliyekubalika miongoni mwa washamba wenzake!
 
Miaka 6 ya JPM sikuongezewa hata 100 mbovu kwa salary yangu miaka 2 ya MAZA kaniongezea juzi tu zaidi ya laki 2 na bado July katika 23.3% sitakosa chochote.

Ni kweli JPM alifanya mazuri sikatai ila nikikumbuka MIAKA 6 bila bila basi nasema MAMA ADUMU MILELE.

Kazi ya Mungu haina makosa.
Ulishaangalia na upandaji wa bei ya mafuta na mfumuko wa bei? Ukisikiliza hotuba za mwanzoni pamoja na ile ya Mei Mosi utaona hapakuwa na mpango wa kuongeza mishahara. Hali ilivyozidi kuwa mbaya, mfumuko wa bei na mafuta, Serikali ikawa haina namna isipokuwa kuongeza mishahara.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
"The Truth shall set you free"
magufuli kuna mambo alikosea na Kati ya hayo NI miongoni mwake.
Lazma muukubali huu ukweli magufuli hakuwa malaika ana MAPUNGUFU yake
Kwahiyo haoulio wataja ndio watu pekee walio potea kwenye nchi hii, angalia ITV pia wanatangazaga watu walio potea alafu ujehumu uulize wapowapi.
 
Serikali ilitoa hela,kwani Magufuli alitoa Mshahara wake?
Huo ndiyo upumbavu wenu Waafrika hivi hizo hela angeamua kusafiria kwenda kula bata nje mngemfanya nini?Ebu kachue na wewe serikalini hela ujenge hata 1km ya lami kijijini kwa babu uako.

Mnapenda kulalama juu ya kusema hela ya serikali ni ya Rais utadhani mnauwezo wa kuzigusa hata Tsh.1 kwa matumizi yenu binafsi.

Badilini mitazamo yenu
 
Kwahiyo haoulio wataja ndio watu pekee walio potea kwenye nchi hii, angalia ITV pia wanatangazaga watu walio potea alafu ujehumu uulize wapowapi.
Hao unaowataja wanatuhusu nini sisi au wamelifanyia nini Taifa hili?? Hata wangekuwepo wangekuwa na impact gani hasa iwapo waliopo kama wai ni wanafiki?
 
Back
Top Bottom