kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,780
- 3,986
Uko sahihi sanaUnapozungumzia uislam kuletwa Africa kuna historia ambayo unatakiwa kuijua yani ipo ivi kipindi Muhamad anawaambia watu wake kua yeye ni mtume imeshushwa kwake quran watu wa makkah walimpinga nakumpiga vita kwasababu walikua wakiabudu mizimu na masanam nakufata mila za babu zao kama ilivokua Africa yani utu haukuwepo kabisa mpaka watoto wa kike wakizaliwa walikua wanazikwa wazima na mambo mengine kibao ya ajabu ambayo ni sawa tu na yaliyokua yakifanyika Africa ambayo ukiambiwa leo hii ufanye huwezi kwa akili ya kawaida..
Muhammad akafukuzwa katika mji aliozaliwa kwasababu kaleta dini mpya na usilolijua ni kwamba kipindi icho icho aliwatuma watu wake Africa na ushahidi upo kua inawezekana uislam ulitangulia Africa kabla ya Madina na maeneo ni kama kilwa kwa east africa, Ethiopia, moroco n.k
Kwaiyo uislam haukua tamaduni za waarabu bali hata waarabu ulikua mgeni kwao na nikipindi icho icho unaingia bongo na ukristo sio tamaduni za kimagharibi umeandika vitu bila ufahamu wowote inamaana we ni faller mmoja na tamaduni za kiafrica zilizokuepo zamani hazikua fair hata kidogo kwa maisha ya binadamu